Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Nifanyie dedication ya mtoto mmoja hapa nim bembeleze kwa tenzi mpaka utani uishe mwishoni yahamie mapenzi haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunga mimba bas bby...usyache nitwe goigoi/
Mwezi wa tatu huu bilabila utazan hua sikojoi/ ....

An ant on the move does more than a dozing ox.
 
Hhhh nakumbaka nilipokuwa napiga misele

Ukanifanye bongo ni steak nikaacha kwenda mbele

Ukanifanya kama road patrol maeneo ya tandale

Nakupa neno juu ya neno kama muhubiri wa kilokole
 
Sasa mimi wacha nichane kwa kudhungu maana naona wote waswahili:

yeah yeah, whut'sup f*ckers & niggerz
This's your real motherf&cker introducin' his diva
But before I spit shit I wanna warn yo ass niggers
My bitch ain't anybody bizz to sucking ua little fingers

In God we're a trustee we don't trust any sucker
ntaendelea....
 
Napenda unavyo nikill me kwenye bed /

Ww ni mzur sio type ya barmaid

Who made you? /

Mana ckumbuki nn nyeto since I met you

I wanna love you baby , I wanna kiss you/

I wanna touch your body, u know I miss u

Ila thanks God kwa kunpa haka karembo /

Toka niwe nae sihitaji tena magendo

Hana scandal kama kina wema sepetu /

Eti hapapatike sababu ya buku buku

Au avue chupi sababu ya chips kuku /


Njoo kwa gia za mkwanja utatoka kapa kapuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whos sucker you bitch muthafucka,..!!
 
[emoji3]hivi jamaa mtaani unachana nahisi wewe msanii kama sio wa rap katuni bas singeli...

Umetaja gwanzuuu umenikumbusha mbali... nilishwahi kwenda kuomba visa ya China nikashindwa kulitamka hilo neno
Hahahahaha eti msanii wa kisingeli

Mkuu me ni shabiki tu wala sifanyi rap katuni
Niko happy nilipo kama wazee wa nyeto bafuni

Haha wazee wa kujilipua kwenye ubora wenu ila jaribu tena na tena mkuu mwisho wataachia tu.

form1


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oouh , nikajua unaimba.

Ilikuwa kitambo sio leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…