form1
Senior Member
- May 21, 2017
- 113
- 143
Nifanyie dedication ya mtoto mmoja hapa nim bembeleze kwa tenzi mpaka utani uishe mwishoni yahamie mapenzi hahaMimi nitaanza na huyu mtoto
Lyn Vivac
Ulijing'ata ukainama
First time tunakutana /
Vitisho, mikwara ya mama
ulisonga hukujali ya jana /
Ukanambia unaitwa L.V
Ukawa mod ndani ya moyo /
Tukapima mpka HIV
Tukala tunda bila choyo /
Leo kwangu wee ni M.P
Doso lako lanikonga nyoyo /
Dear,
Umeniscopion kihisia
kiuweli sioni njia /
Mpini nakuaminia
Wee ni jembe zaidi ya deer/
Pia,
Penzi ni kifungo mfungwa nakitumikia /
Na mpango nikutrump
Jf mpaka maskani /
Nyumban yapigwe madrum
Nikuvishe Pete kiimani /
Tusifanye kiharamu
Tuitangaze hadharani /
....................................
Sent using Jamii Forums mobile app