Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Yani anakupa zile swagga za "unavyoniona ndo hivihivi, nakusikiliza wewe tu"Ha haa itabidi umpokee hivohivo
Nimechekaje.... Yani kijana kajitosa hivo ole wako umpotezeeYani anakupa zile swagga za "unavyoniona ndo hivihivi, nakusikiliza wewe tu"
I'm occupied banaNimechekaje.... Yani kijana kajitosa hivo ole wako umpotezee
Ee with who?I'm occupied bana
Humjui bae wangu Benny au?Ee with who?
Si ulishaachwa au umerudiwa?Humjui bae wangu Benny au?
Aaah kawaida banaOoh pole kwa kijanaa
He he you wish niachike kama wewe eeh. Hapa haachiki mtu(in Mange kimambi's voice)Si ulishaachwa au umerudiwa?
My wii ulikua wapi hivi?Si ulishaachwa au umerudiwa?
Nitakupatia Victoria Cakes ana kinu balaaa.Wadau nahitaji mpenzi jamani
Mhhhh?ngoja si nitamuona mume wako kwanini niandikie mate mieHe he you wish niachike kama wewe eeh. Hapa haachiki mtu(in Mange kimambi's voice)
Mmh kama una hayo matumaini yafute tu, usijekuwa disappointed ukikutana nayeMhhhh?ngoja si nitamuona mume wako kwanini niandikie mate mie
Nilienda Dubai Mara moja si unajua tena new hubby ananipoza machungu[emoji124] [emoji124] [emoji124]My wii ulikua wapi hivi?
Never in my life yani niwe disappointed hapana kabisaMmh kama una hayo matumaini yafute tu, usijekuwa disappointed ukikutana naye
Ooh mwambie new huby mie na Nyani Ngabu twamsalimia shemela letuNilienda Dubai Mara moja si unajua tena new hubby ananipoza machungu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Dubai ya matombo tehNilienda Dubai Mara moja si unajua tena new hubby ananipoza machungu[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ooh kila kitu kina mwanzo wakeNever in my life yani niwe disappointed hapana kabisa
Atakuwa sehemu anaomba pesaYule pasua kichwa atoto yukwapi
Mkumbushie kaka asije kusahau nanihii yangu[emoji39]Ooh mwambie new huby mie na Nyani Ngabu twamsalimia shemela letu