Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Tulianza kama utani
Kwenye uzi wa kinyamwezi
Wanga hawakuisha kuchonga
Nikawaona washenzi..

Niliimbishwa nyimbo
Nikaimba kama chizi
Wengi wao wakinicheka
Hawakujua ni ulimbo
Natega yangu mawindo

Asprin na wenzako
Nimeingia mnako
Mtoto wa juzi jamvini
Wakongwe mjitathmini

Japo sio kapuku Bitoz usione wivu
mwambie na Jimena yeye ni mstahimilivu

Kasinde wangu mwandani
Nitakuenzi daima

Walio chezea nafasi
Watie gunzi takoni
Nadata na zako bikini
Na mauno kama feni
Vilio vyako chumbani
Ukaliapo mpini.....

Hallaaa
 
Watunzi wa nyimbo wako wengi.
Hongereni kwa tunzi za nyimbo za mapenzi.

Sisi ngoja tupite tu........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…