Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Njoo tuwasifu wapenzi wetu kwa Mitindo huru/freestyle.

Naanza kukupa sifa,
mtoto mzuri miss chagga,
Wanga mnashoboka,
kwangu ndo umefika.

mrembo unapenda pesa,
Ila kwangu ubanduki.

Nakumudu kila sekta,
manjonjo yako mie hoi.

Nakupa bahari malkia,
na Vito vyote asilia.
 
What up girl, tell me how you been?
Ain't seen ya since yesterday, even back then
thought you was a cutie though ya booty mad thin
But you done got thick on a nigga- GOT DAMN
Hey now I got a thang for you
It's been a long time comin' I should hang with you
Cause see way back I thought to f***k with you was impossible
Count your baby daddy's, now 2 ain't impossible, uh
You still got it though, yea you still got it though
Girl your body lookin like a f**kn pot of gold
You got your mean lil walk with the model pose
You got your hair did, you got designer clothes
You still got it though, yea you still got it though
You got your nails did, damn girl you're on a roll....

Now get ya a.$$ in that position i wana bend you in .....

Close your eyes. ... gimme your hand darling
Do you see my heart beating, do you understand
Do you feel the same am I only dreaming
Is this burning an eternal flame....

Say my name sunshine.........

I love singing while hugging you. ...
Hugging you so tight, feeling your heartbeats close to mine....
I'll sing for you in the morning, in the afternoon, in the evening and at night.....

You know what..... you draw a smile on my face....
The smile you see on my avatar....
And I love it..... Muah! !
 
Am the reason,
she been good all the season

Making her feel comfortable,
Admitted am unforgettable.

Memories all back,
Even though we're apart.

That last words i do remember
Though am not good story teller
 
Naanza kukupa sifa,
mtoto mzuri miss chagga,
Wanga mnashoboka,
kwangu ndo umefika.

mrembo unapenda pesa,
Ila kwangu ubanduki.

Nakumudu kila sekta,
manjonjo yako mie hoi.

Nakupa bahari malkia,
na Vito vyote asilia.


Hapo wewe unataka kesi na wizara ya maliasili. Vito asilia? ?
 
Tulianza kama utani
Kwenye uzi wa kinyamwezi
Wanga hawakuisha kuchonga
Nikawaona washenzi..

Niliimbishwa nyimbo
Nikaimba kama chizi
Wengi wao wakinicheka
Hawakujua ni ulimbo
Natega yangu mawindo

Asprin na wenzako
Nimeingia mnako
Mtoto wa juzi jamvini
Wakongwe mjitathmini

Japo sio kapuku Bitoz usione wivu
mwambie na Jimena yeye ni mstahimilivu

Kasinde wangu mwandani
Nitakuenzi daima

Walio chezea nafasi
Watie gunzi takoni
Nadata na zako bikini
Na mauno kama feni
Vilio vyako chumbani
Ukaliapo mpini.....

Hallaaa

We mtu wa kukariri,
Hujui chana mistari,
Umekaa kisharirishari,
Si kama Wema bali Zari....

Kasinde wangu mwandani,
Yuko kwangu nyumbani,
Ananipatia ya ndani,
Ya nje ampe nani???

Nilikupa binti atoto
We ukafanya kitoto,
Hata Honey Faith wa moto,
Ukashindwa mpa joto...

Heaven Sent nyama laini
Naye kakupiga chini
geniveros wamtakiani
Wajiingiza hatiani

Nimemaliza kwa leo... Ngoja nikazimue.

Mimi babu ODM si mtu wa kisportsport...
 
We mtu wa kukariri,
Hujui chana mistari,
Umekaa kisharirishari,
Si kama Wema bali Zari....

Kasinde wangu mwandani,
Yuko kwangu nyumbani,
Ananipatia ya ndani,
Ya nje ampe nani???

Nilikupa binti atoto
We ukafanya kitoto,
Hata Honey Faith wa moto,
Ukashindwa mpa joto...

Heaven Sent nyama laini
Naye kakupiga chini
geniveros wamtakiani
Wajiingiza hatiani

Nimemaliza kwa leo... Ngoja nikazimue.

Mimi babu ODM si mtu wa kisportsport...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We mtu wa kukariri,
Hujui chana mistari,
Umekaa kisharirishari,
Si kama Wema bali Zari....

Kasinde wangu mwandani,
Yuko kwangu nyumbani,
Ananipatia ya ndani,
Ya nje ampe nani???

Nilikupa binti atoto
We ukafanya kitoto,
Hata Honey Faith wa moto,
Ukashindwa mpa joto...

Heaven Sent nyama laini
Naye kakupiga chini
geniveros wamtakiani
Wajiingiza hatiani

Nimemaliza kwa leo... Ngoja nikazimue.

Mimi babu ODM si mtu wa kisportsport...
Hahahaha haki ya mama wewe sio babu ndio maana Honey Faith anasema upo sekondari

Hapo kwa Heaven Sent unanisingizia bure sijapigwa chini na mama mchungaji ..sema nilikuwa namuimbia nyimbo fulani za Kassim mganga sijui hakunielewa
 
Hahahaha haki ya mama wewe sio babu ndio maana Honey Faith anasema upo sekondari

Hapo kwa Heaven Sent unanisingizia bure sijapigwa chini na mama mchungaji ..sema nilikuwa namuimbia nyimbo fulani za Kassim mganga sijui hakunielewa
Huyo hapendi sana sauti ya mdomoni...

siku nyingine ukiwa unamuimbia Heaven Sent hakikisha una coins mkono wa kulia na noti nyekundu mkono wa kushoto... Unaimba huku unadodosha coin moja baada ya nyingine... Ile sauti ya coin iliyodondoka ye anaisikia kama gitaa la Diblo Dibala.. akiona tena na mwekundu mkononi wimbo unakuwa mtamu kama wa Kepten Komba wa "CCM mbele kwa mbele"

Hakika utapata kura yake...

Na hili ndilo neno na Babu...
 
Huyo hapendi sana sauti ya mdomoni...

siku nyingine ukiwa unamuimbia Heaven Sent hakikisha una coins mkono wa kulia na noti nyekundu mkono wa kushoto... Unaimba huku unadodosha coin moja baada ya nyingine... Ile sauti ya coin iliyodondoka ye anaisikia kama gitaa la Diblo Dibala.. akiona tena na mwekundu mkononi wimbo unakuwa mtamu kama wa Kepten Komba wa "CCM mbele kwa mbele"

Hakika utapata kura yake...

Na hili ndilo neno na Babu...
Hahahahaha dah haya babu asante
 
We mtu wa kukariri,
Hujui chana mistari,
Umekaa kisharirishari,
Si kama Wema bali Zari....

Kasinde wangu mwandani,
Yuko kwangu nyumbani,
Ananipatia ya ndani,
Ya nje ampe nani???

Nilikupa binti atoto
We ukafanya kitoto,
Hata Honey Faith wa moto,
Ukashindwa mpa joto...

Heaven Sent nyama laini
Naye kakupiga chini
geniveros wamtakiani
Wajiingiza hatiani

Nimemaliza kwa leo... Ngoja nikazimue.

Mimi babu ODM si mtu wa kisportsport...

Abee babu ODM, babu Big Sam originale....
 
I love you too Kasie...

Will you marry me??

CC: Yamakagashi

Hhahahahahahaa babu weeweee kwani si ulishasema wewe unashughulikia mdomo wa chini na Yamakagashi ashughulikie mdomo wa juu?, na ukasema nyie ni dugu moja kisiasa?
I love you Yamakagashi
images



and you too babu Asprin
upload_2016-11-21_8-59-36.jpeg
 
Hhahahahahahaa babu weeweee kwani si ulishasema wewe unashughulikia mdomo wa chini na Yamakagashi ashughulikie mdomo wa juu?, na ukasema nyie ni dugu moja kisiasa?
I love you Yamakagashi
images



and you too babu Asprin View attachment 437148
Teh teh ila nashukuru hata emoj zinaonyesha nani anapendwa zaidi Asprin hebu chunguza hizo emoj vizuri

I love u more Kassie....[emoji8]
 
Back
Top Bottom