Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

Hahahaha hiyo biashara nilishaifanya kama miaka 3 hivi, mbona biashara ipo pouwa sana na inaleta maendeleo ya haraka. Sema niliacha kwa sababu za mazingira yaliyokuwa na stoo zangu yalibadilishwa matumuzi.
Kweli kabisa ndugu
 
Dah, ni biashara nzuri tatizo niko mbali yanj Zenji..mpaka nivuke maji...sasa hata nikiingia ubia na wewe mara moja kunitia changa la macho😅
Ni kweli ndugu mwenyew nitapenda mtu tutakayekuwa jiran zaidi ili aweze kuona na changamoto zake ili lawama zisitokee Kama ukiwa uko fresh karbu siku moja Kama nikianza nitakujulisha uje ujifunze zaidi
 
Hii biashara siijui lakini mtaji laki tatu mnapiga milioni na kitu, kila la kheri
Karibu kila kitu kujifunza usiogope kujifunza na kujua hii Ni biashara ambayo uhakika wa kupata Ni asilimia zaidi
 
Habari za kazi wakubwa

Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa 💯
Hiyo miti anakuuzia nani halafu huko polini maliasili hawaji?
 
Mkuu ukiona kuna biashara muhindi haifanyi, basi usifanye..

Hakuna muhundi anauza mkaa hata umpe msitu bure avune na achome mkaa..

Biashar ya mkaa itakupa hela, pia itakufilisi na nimeona wengi sana
 
Mkuu ukiona kuna biashara muhindi haifanyi, basi usifanye..

hakuna muhundi anauza mkaa hata umpe msitu bure avune na achome mkaa..

biashar ya mkaa itakupa hela, pia itakufilisi na nimeona wengi sana
Kivipi yani...fafanua! Halafu hao wahindi ndo nani mpaka wawe ndi kigezo chako katika biashara au ujasiriamali?
 
ukifika nchi, mkoa ama eneo ambapo hamna wahindi wanafanya biashra, tambua hilo eneo au nchi halifai wewe kufanya biashra
Sawa, ila wahindi sio watu wa biashara za jasho sana kama hizi za makaa..wao biashara zao ni kwenye maduka ya bidhaa sana sana.
 
Mkuu ukiona kuna biashara muhindi haifanyi, basi usifanye..

hakuna muhundi anauza mkaa hata umpe msitu bure avune na achome mkaa..

biashar ya mkaa itakupa hela, pia itakufilisi na nimeona wengi sana
Umenchekesha Sana. Kuna rafk yangu mtu mzima kidogo nilimfata ushari nataka nihamie kampuni flani. Akaniambia hiyo kampuni nnayotaka kuhamia imejaa wahindi kibao sasa nnachosubiri kuhamia ni nini. Akanshauri Acha ujinga nenda huko.
🤣🤣🤣🤣 yaani kigezo wwahindi.
 
wapo kama nzi wale wakijani, wakihisi harufu ya hela lazma wajazane..
uzuri wao, huambiana wao kwa wao tofauti na sisi rangi ya mkaa
 
Utafanyia mkoa gani?
 
Ni kweli ndugu mwenyew nitapenda mtu tutakayekuwa jiran zaidi ili aweze kuona na changamoto zake ili lawama zisitokee Kama ukiwa uko fresh karbu siku moja Kama nikianza nitakujulisha uje ujifunze zaidi
Binafsi ninakuunga mkono Mimi nipo mafinga nitakutafuta tufanye mapatano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…