Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Thubutuuu Nina mask HapaWacha mbwe mbwe, fanya fasta kabla hujapuliziwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thubutuuu Nina mask HapaWacha mbwe mbwe, fanya fasta kabla hujapuliziwa
Hahaha kwa nini Dada JovithaWewe nakupulizia
Hahahahha eti jaza ujazweNgoja niwahi yangu mapema akijitokeza tu anataka kuni spray nami natoa.
(JAZA UJAZWE)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi tu na hicho kiavatar kinavyonitolea machooo kwa hasira[emoji34]
Inabidi tukubali tu maana hatuna namna kama company ndio wamebrandHahahahha eti jaza ujazwe
Na apply law ya jaza ujazwe tu.Hahaha, ila wakikuwahi ujue ndio imetoka hiyo
we utampulizia nani mkuu?Shida yote hiyo ya nini?
na ukimkosa utafanya nini? au utamsubiria kwa sir God ?
kazi kwelikweliInabidi tukubali tu maana hatuna namna kama company ndio wamebrand
Sijui hata umekipendea nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Behaviourist Lazima nimpuliziewe utampulizia nani mkuu?
Huku JF sina uadui na mtu mkuu...Labda ingekuwa mbu sawaChagua fasta kabla hawajakuwahi
Jinsi kilivyo tuSijui hata umekipendea nini
Duh, Jamaa alikuwa anaaply ile ''Adui muombee njaa''Kwenye Novel ya The Doomsday Conspiracy ya Sidney Sheldon kuna character anaitwa Dan Wayne, alikuwa na madeni kibao mpaka akawa anaomba Aliens waje waue wale creditors wake wote.
Kitoe bhanaa kakaaJinsi kilivyo tu
Duh, Jamaa alikuwa anaaply ile ''Adui muombee njaa''