Njoo uchague mmoja wa Kumpulizia

Njoo uchague mmoja wa Kumpulizia

Kwenye Novel ya The Doomsday Conspiracy ya Sidney Sheldon kuna character anaitwa Dan Wayne, alikuwa na madeni kibao mpaka akawa anaomba Aliens waje waue wale creditors wake wote.
Ikawajee
 
Hizi ni pafyumu zenye sumu,
Ambazo inasemekana kwamba Utakuwa na siku tatu tu za kuishi endapo utajipulizia
e107553a73a83cbf08415dcb0385f79d.jpg

Sasa Ukiambiwa umchague mmoja wa kumpulizia, Utamchagua nani?
Shetani akijileta nampulizia vya kutosha hadi iishe
 
Back
Top Bottom