Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Njoo Uchukue Vijembe Vyako......

Dada Kasie naomb wimbo fulani unaitwa "Mahaba ya dhati" original, si ule wa Ray C. Kaimba sijui ndo Nasma Khamis, sijui Mariam Khamis, nachanganya hayo majina, kaisha R.I.P. Japo sipendelei hizo nyimbo za taarab ila huu huwa unanikumbusha so far...

Cc Kasie

Kuna nyimbo naona hazipo kwenye youtube sijaupata hadi kupata mtu wa records anaweza kuwa nao.
 
Kuna nyimbo naona hazipo kwenye youtube sijaupata hadi kupata mtu wa records anaweza kuwa nao.
OK! Dah nilidhani hapa kwako nitaupata, nimeshausaka bila mafanikio, kipindi cha nyuma ulikuwepo YouTube sasa sielewi kwanini uliondoshwa
 
Mipasho na vijembe maana yake yaweza fanana.

Kamusi ya Oxford imenipa hiyo tafsiri. ....

Screenshot_2018-03-15-20-09-09.png
 
OK! Dah nilidhani hapa kwako nitaupata, nimeshausaka bila mafanikio, kipindi cha nyuma ulikuwepo YouTube sasa sielewi kwanini uliondoshwa

Nafikiri ndugu wa Nasma au waliokuwa managers wake au promoters wake.
 
Wembamba wa reli lakini treni linapita na ukitaka kujua umuhimu wa matako kalia kichwa uone... mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Kasie nipe wimbo acha nijishebedue mke mwenzangu anijue
 
Wembamba wa reli lakini treni linapita na ukitaka kujua umuhimu wa matako kalia kichwa uone... mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Kasie nipe wimbo acha nijishebedue mke mwenzangu anijue
 
Back
Top Bottom