Njoo uipime akili yako hapa.

Njoo uipime akili yako hapa.

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
Poleni na mihangaiko na wanajukwaa, baada ya purukushani nyingi, makinikia ,mara Arusha mara Nairobi, karibu upime uwezo wako wakufikiri kama bado haujaathirika na haya yote!

The test is simple, kama umewahi kukutana nayo like tu waachie wanaojaribu! Sawa?

Maswali-...

1. Kuna matofali 500 kwenye ndege iliyopo katika anga la mbali, likidondoka tofali moja nje ya ndege yatabaki mangapi?

2. Tafadhali taja hatua tatu zakumweka tembo kwenye friji.

3.Tafadhali taja hatua nne zakumweka mamba kwenye friji.

4. Mfalme sungura anasherekea sikukuu yake yakuzaliwa, wanyama wote wameudhuria, isipokua mmoja hajaudhuria na hajatoa sababu, ni mnyama gani huyo na ni kwasababu gani hajaudhuria?

5. Magushite anataka kuvuka mto wenye mamba mkali sana, mto hauna daraja, anaamua kuogelea na anavuka salama bila ya kudhurika popote! Unaweza kuelezea ni muujiza gani umetokea?

6. Mwisho baada ya Magushite kuvuka mto, anaanguka chini nakupoteza maisha, je nini kimesababisha kifo chake?

............mwisho..........

* karibu

800950ae678017527f2bd24793289ed9.jpg
 
Haya maswali yanatusaidia nini kwenye maisha yetu ya kila siku huku kitaa
 
Back
Top Bottom