Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,824
- Thread starter
- #81
Kitu cha kwanza wapasa kukijua kua.Mkuu Mimi natka nitbu chunusi usoni nikipaka mida y usiku nikae nayo muda gani dakka ngapi uson au mpka asubuh itakuwa sawa
Usipendelee kujishikashika uso kwasababu mikono inabacteria hivo unaongezea chunus kuongezeka usoni,ww chukulia normal usiwe mtu wa kuvitumbuatumbua au kujishika.
Kitu cha pili usipende kuosha uso mara kwa mara na sabuni,jipangilie kuosha mara mbili tu asbuh na jion ndio uoshe kwa sabun,katikatika apo ya siku ukitaka kuosha osha na maji safi tu bila ya sabuni.
Kitu cha tatu pendelea kufanya mazoez kwani ni njia moja wapo iliyonisaidia kupotea kwa chunus,jasho kadri linavyotoka na kadri chunus zinapotea,kwan yale ni mafuta.
Kitu cha nne punguza stress,kwasbabu ni moja wapo inayooongeza chunus.be freemind and stressfree
Kitu cha tano ni kutumia huo mchanganyiko,mdalasini na asali,ni vizuri zaid ukatumia usk as i did nikapata matokeo mazuri ndani ya siku tatu tu.pakaa usoni iwe thin layer usijaze sanaa italeta kero,pakaa kila sehem ambayo unahis pana chunus,then lala nayo ukiamka asbuh osha uso wako na maji ya baridi.
Uso wako kama ni wa mafuta basi usijipake kitu chochote usoni chenye asili ya mafuta..