Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

Nimetumia mdalasini na asali kwa wiki matokeo nimazuri sura imeisha chunusi na imekua laini japo uso ulikua unawaka moto mwanzo,saiv nimeingia kwenye asali na ukwaju
 
Nimeona kuna fursa hapa, kwa mahitaji ya asali orijinal from Tabora ni PM. Free delivery in DSM
 
Nimetumia mdalasini na asali kwa wiki matokeo nimazuri sura imeisha chunusi na imekua laini japo uso ulikua unawaka moto mwanzo,saiv nimeingia kwenye asali na ukwaju
ndugu umetumiaje naomb formula jobs y kuchngany huo mchangnyko
 
Nimechukua unga wa mdalasini kijiko kimoja na asali mbichi vijiko viwili nkachanganya,nanawa uso vizuri napaka mchanganyiko nakaa dk10-15 nanawa napaka mafuta yangu
 
Back
Top Bottom