Nimetumia mdalasini na asali kwa wiki matokeo nimazuri sura imeisha chunusi na imekua laini japo uso ulikua unawaka moto mwanzo,saiv nimeingia kwenye asali na ukwaju