Jamaa kauliwa na mgeni aliye igiza kama mlemavu wa miguu.Ushahidi,
1:Mgeni alikaribishwa mezani na kupata kinywaji na mwenyeji wake,baada ya kumuamini.Ndiyo maana kuna glass mbili hapo mezani.
2:Mwenyeji kuna kazi alikuwa anafanya kwenye Meza ya kujisome.Baada ya kumuamini mgeni wake ikabidi akaimalizie kazi yake.Sasa alipokuwa kajiziuka na kazi ndipo Muuaji alipo mvamia na kumuua.Ndiyo maana kuna kama vitu vimekaa hovyohovyo kwenye Meza ya kusomea kwa chini.
3: Muuaji akasachi kwenye kitanda kitu ambacho alikihitaji.Ndiyo maana kitanda kimekaa hovyo hovyo
4:Muuaji alipokosa alichokitarajia kwenye kitanda ndipo akaamua kufungua kabati la nguo ndipo akakipata anacho kitaka kwenye kaptula.
5:Muuaji alikuwa anakwenda na muda aliopanga kukamilisha adhima yake,hivyo akasahau kurudisha kaptura sehemu usika na kutaka kupoteza Ushahidi kwa haraka.
6:Muuaji akaona njia sahihi ya kupoteza Ushahidi ni kumning'ininiza Marehemu ili iyonekane kajinyonga.Kwani Marehemu angeliweza kukanyaga kitanda,kama angekuwa kanyinyonga kutokana na mahamivu ya kitanzi.
7:Muuaji alikuwa nje ya muda hivyo akasahau kama alikuja na magongo yake yaliyosaidia kumlainisha Marehemu.Hivyo akasahau kithibiti.