Njoo useme neno

Maisha ni mazuri sana ikiwa hautayapa kipaombele mambo yasiyokupa kipao mbele wewe.

Tunaishi hapa duniani kwa ajili ya furaha tu, tunafanya yooote ili kupata furaha.
Hakuna mtu ataacha kutafuta furaha yake aje akupe furaha wewe, kama utashindwa kupata furaha na amani kutoka ndani yako tarajia kuumia kusiko kipimo .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa ulitaka nimpende mtu ambaye nae inatakiwa ajipende mwenyewe??

Basi nakupenda wewe kidogo [emoji2957]
Tumeumbwa kufaana na kufaidina, mimi namfaidia yule, na yule ana kufaidia wewe, ndio mzunguko wa maisha

Kujipenda hakutakuwa na utimilifu wa furaha kama hakutahusisha mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…