Njoo useme neno

Njoo useme neno

Habari za jioni wakuu!

Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.

Naomba msipite bila kusema neno hapa,

Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
Maisha ni mazuri sana ikiwa hautayapa kipaombele mambo yasiyokupa kipao mbele wewe.

Tunaishi hapa duniani kwa ajili ya furaha tu, tunafanya yooote ili kupata furaha.
Hakuna mtu ataacha kutafuta furaha yake aje akupe furaha wewe, kama utashindwa kupata furaha na amani kutoka ndani yako tarajia kuumia kusiko kipimo .
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa ulitaka nimpende mtu ambaye nae inatakiwa ajipende mwenyewe??

Basi nakupenda wewe kidogo [emoji2957]
Tumeumbwa kufaana na kufaidina, mimi namfaidia yule, na yule ana kufaidia wewe, ndio mzunguko wa maisha

Kujipenda hakutakuwa na utimilifu wa furaha kama hakutahusisha mwingine.
 
Back
Top Bottom