Njoo useme neno

Acha ibaki kuwa siri nataka ya nyuma yabaki kuwa ya nyuma nimeanza upya kabisa 😊😊😊

Hope da naka atarudi
Ikitokea nikaja inbox mara ya pili isokee?πŸ˜‰
 
Kadange tu
 
Samahani, mrembo kuna mtu aliomba ushauri kuhusu kufundwa ukamjibu aje kwako kwani wewe unaweza kumfunda mwanamke (jando na unyago)

Kwanini wewe kungwi umeachwa????? au wewe ndiyo umeacha???? Au mganga hajigangi?????
 
Sijasema kama nimeachwa
Nilitaka tu kujua Kwa faida ta mtu mwingine kabisa

(Niko penzini penzi hot hot😊)
 
Mbinu pekee ya kuwahi kusahau ni kutumia kanuni ya mazingira yaani β€œKata mti panda mti”
 
Kwani shangazi mwenzangu Shunie analizungumziaje hili?
[emoji1787][emoji1787] Hivi unaanzaje kumrudia ex lakini mkishindwana kata mti panda mti stress za nini lakini vitu vingine kujiendekeza ujue shangazi
 
[emoji1787][emoji1787] Hivi unaanzaje kumrudia ex lakini mkishindwana kata mti panda mti stress za nini lakini vitu vingine kujiendekeza ujue shangazi
Shangazi acha kabisa,na penzi jipya lilivyo na matshtiti SasaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Mara kuchat mpaka saa tisa alfajiri,Mara outing,Mara ka video call,Mara surprise mweee ndio ukae unahangaika na likitunguu maji!
 
hv kwenye watoto huwa mnafanyaje baada ya kuMove On
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…