Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Ikitokea nikaja inbox mara ya pili isokee?😉Acha ibaki kuwa siri nataka ya nyuma yabaki kuwa ya nyuma nimeanza upya kabisa 😊😊😊
Hope da naka atarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikitokea nikaja inbox mara ya pili isokee?😉Acha ibaki kuwa siri nataka ya nyuma yabaki kuwa ya nyuma nimeanza upya kabisa 😊😊😊
Hope da naka atarudi
sawa tu.... malipo ni hapahapa JF😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawa tu.... malipo ni hapahapa JF[emoji23]
Kadange tuHabari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
IsokeeIkitokea nikaja inbox mara ya pili isokee?😉
Samahani, mrembo kuna mtu aliomba ushauri kuhusu kufundwa ukamjibu aje kwako kwani wewe unaweza kumfunda mwanamke (jando na unyago)Habari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
Sijasema kama nimeachwaSamahani, mrembo kuna mtu aliomba ushauri kuhusu kufundwa ukamjibu aje kwako kwani wewe unaweza kumfunda mwanamke (jando na unyago)
Kwanini wewe kungwi umeachwa????? au wewe ndiyo umeacha???? Au mganga hajigangi?????
Mbinu pekee ya kuwahi kusahau ni kutumia kanuni ya mazingira yaani “Kata mti panda mti”Habari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
Habari za jioni wakuu!
Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.
Naomba msipite bila kusema neno hapa,
Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza. #Suluhisho la tatizo kwanza ni kulijua alafu ni kulitatua.. Maamuzi magumu yanahitajika bila kujali
Awe anapiga selfie🤣🤣🤣🤣Love yourself
Kama naijua 🌝Haiwezi kuwa rahisi nimechange
Ni kweli, wewe mwenyewe unajua.Sio kweli!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shangazi acha kabisa,na penzi jipya lilivyo na matshtiti Sasa😅😅😅😅Mara kuchat mpaka saa tisa alfajiri,Mara outing,Mara ka video call,Mara surprise mweee ndio ukae unahangaika na likitunguu maji![emoji1787][emoji1787] Hivi unaanzaje kumrudia ex lakini mkishindwana kata mti panda mti stress za nini lakini vitu vingine kujiendekeza ujue shangazi