Njoo useme neno

Njoo useme neno

Habari za jioni wakuu!

Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.

Naomba msipite bila kusema neno hapa,

Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
Kadange tu
 
Samahani, mrembo kuna mtu aliomba ushauri kuhusu kufundwa ukamjibu aje kwako kwani wewe unaweza kumfunda mwanamke (jando na unyago)

Kwanini wewe kungwi umeachwa????? au wewe ndiyo umeacha???? Au mganga hajigangi?????
 
Sijasema kama nimeachwa
Nilitaka tu kujua Kwa faida ta mtu mwingine kabisa

(Niko penzini penzi hot hot😊)
 
Habari za jioni wakuu!

Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.

Naomba msipite bila kusema neno hapa,

Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza?
Mbinu pekee ya kuwahi kusahau ni kutumia kanuni ya mazingira yaani Kata mti panda mti
 
Habari za jioni wakuu!

Baada ya kuondoka humu kwa muda mrefu hatimae nimeamua kurejea tena….niliwamiss.

Naomba msipite bila kusema neno hapa,

Kwa Wale mliochoka magumu ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu mkaamua kumove on mlitumia muda gani kuzoea Hali ya upweke? Kitu gani kiliwafanya kusonga mbele bila kuwarudia waliowaumiza. #Suluhisho la tatizo kwanza ni kulijua alafu ni kulitatua.. Maamuzi magumu yanahitajika bila kujali
 
Kwani shangazi mwenzangu Shunie analizungumziaje hili?
[emoji1787][emoji1787] Hivi unaanzaje kumrudia ex lakini mkishindwana kata mti panda mti stress za nini lakini vitu vingine kujiendekeza ujue shangazi
 
Shangazi acha kabisa,na penzi jipya lilivyo na matshtiti Sasa😅😅😅😅Mara kuchat mpaka saa tisa alfajiri,Mara outing,Mara ka video call,Mara surprise mweee ndio ukae unahangaika na likitunguu maji!
 
hv kwenye watoto huwa mnafanyaje baada ya kuMove On
 
Back
Top Bottom