Nakazia hapaShabiki kindaki ndaki wa azam.
Utabiri wangu
1- Yanga
2- Simba
3 -Azam
4-Singida BS
Natabiri Brazil 🇧🇷 anazoa World Cup Trophy 🏆Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utavyomaliza kuanzia Bingwa hadi nafasi ya 5
Upangaji wangu umeangiliwa Uwekezaji wa teams husika na Quality of players wa team zenyewe
1.AZAM FC hawa ndo mabingwa utake usitake
2.YANGA. Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii AZAM
3.SIMBA hawa wasipoboresha kikosi January wanaweza maliza nafasi ya 5
4. SINGIDA BIG STARS sina comment nao acha leo niwaona kama ni Yanga B au la
5.KMC kino boys wapo vizuri
Huo ndo utabiri na uhalia utavyokuwa
Subiri kimataifa watu wapelekeshwe uone kama utakuja na post hizi.Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utavyomaliza kuanzia Bingwa hadi nafasi ya 5
Upangaji wangu umeangiliwa Uwekezaji wa teams husika na Quality of players wa team zenyewe
1.AZAM FC hawa ndo mabingwa utake usitake
2.YANGA. Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii AZAM
3.SIMBA hawa wasipoboresha kikosi January wanaweza maliza nafasi ya 5
4. SINGIDA BIG STARS sina comment nao acha leo niwaona kama ni Yanga B au la
5.KMC kino boys wapo vizuri
Huo ndo utabiri na uhalia utavyokuwa
Uto ammo!
India SBS, washajitia gundu. Niamini. Ndo mwisho waoHuu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utakavyomalizika kuanzia bingwa hadi nafasi ya 5. Upangaji wangu umeangilia uwekezaji wa timu husika na ubora wa wachezaji wa timu zenyewe.
1. Azam FC - Hawa ndiyo mabingwa utake usitake.
2. Yanga - Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii Azam.
3. Simba - Hawa wasipoboresha kikosi Januari, wanaweza maliza nafasi ya 5.
4. Singida Big Stars - Sina maoni kwao, acha leo niwaone kama ni Yanga B au la!
5. KMC - Kino boys wapo vizuri.
Huo ndiyo utabiri na uhalisia utakavyokuwa.