FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utakavyomalizika kuanzia bingwa hadi nafasi ya 5. Upangaji wangu umeangilia uwekezaji wa timu husika na ubora wa wachezaji wa timu zenyewe.
1. Azam FC - Hawa ndiyo mabingwa utake usitake.
2. Yanga - Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii Azam.
3. Simba - Hawa wasipoboresha kikosi Januari, wanaweza maliza nafasi ya 5.
4. Singida Big Stars - Sina maoni kwao, acha leo niwaone kama ni Yanga B au la!
5. KMC - Kino boys wapo vizuri.
Huo ndiyo utabiri na uhalisia utakavyokuwa.