Njoo utabiri 5 bora ya Premier League

Njoo utabiri 5 bora ya Premier League

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utakavyomalizika kuanzia bingwa hadi nafasi ya 5. Upangaji wangu umeangilia uwekezaji wa timu husika na ubora wa wachezaji wa timu zenyewe.

1. Azam FC - Hawa ndiyo mabingwa utake usitake.
2. Yanga - Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii Azam.
3. Simba - Hawa wasipoboresha kikosi Januari, wanaweza maliza nafasi ya 5.
4. Singida Big Stars - Sina maoni kwao, acha leo niwaone kama ni Yanga B au la!
5. KMC - Kino boys wapo vizuri.

Huo ndiyo utabiri na uhalisia utakavyokuwa.
 
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utavyomaliza kuanzia Bingwa hadi nafasi ya 5

Upangaji wangu umeangiliwa Uwekezaji wa teams husika na Quality of players wa team zenyewe

1.AZAM FC hawa ndo mabingwa utake usitake
2.YANGA. Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii AZAM
3.SIMBA hawa wasipoboresha kikosi January wanaweza maliza nafasi ya 5
4. SINGIDA BIG STARS sina comment nao acha leo niwaona kama ni Yanga B au la
5.KMC kino boys wapo vizuri

Huo ndo utabiri na uhalia utavyokuwa
Natabiri Brazil 🇧🇷 anazoa World Cup Trophy 🏆
 
Hao ngada watakua timu mpya hyo haijayajua mashindano vzuri..ndo timu gani hiyo mkuu.. ila ni mpya na ipo top six sio mbaya 😀 😀 😀
 
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utavyomaliza kuanzia Bingwa hadi nafasi ya 5

Upangaji wangu umeangiliwa Uwekezaji wa teams husika na Quality of players wa team zenyewe

1.AZAM FC hawa ndo mabingwa utake usitake
2.YANGA. Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii AZAM
3.SIMBA hawa wasipoboresha kikosi January wanaweza maliza nafasi ya 5
4. SINGIDA BIG STARS sina comment nao acha leo niwaona kama ni Yanga B au la
5.KMC kino boys wapo vizuri

Huo ndo utabiri na uhalia utavyokuwa
Subiri kimataifa watu wapelekeshwe uone kama utakuja na post hizi.
Morocco ni Raja na Waydad Misri ni Zamalek na Aly Ahly hapa Tanzania timu nyingi zitafanya vizuri lakini haziwezi kuvuka viunzi vya simba na yanga.
 
Simba.
Azam.
Mbeya City.
SBS.
JamiiForums-1503402815.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni uzi wa utabiri msimu wa NBC utakavyomalizika kuanzia bingwa hadi nafasi ya 5. Upangaji wangu umeangilia uwekezaji wa timu husika na ubora wa wachezaji wa timu zenyewe.

1. Azam FC - Hawa ndiyo mabingwa utake usitake.
2. Yanga - Hawa wamewekeza vizuri ila uwekezaji wao hauifikii Azam.
3. Simba - Hawa wasipoboresha kikosi Januari, wanaweza maliza nafasi ya 5.
4. Singida Big Stars - Sina maoni kwao, acha leo niwaone kama ni Yanga B au la!
5. KMC - Kino boys wapo vizuri.

Huo ndiyo utabiri na uhalisia utakavyokuwa.
India SBS, washajitia gundu. Niamini. Ndo mwisho wao
 
Back
Top Bottom