Vida1
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 538
- 1,539
Kiukweli humu JF sio kila mtu unamkubali na kumpenda kuna baadhi ya member wanakuudhi na kukukera ila hauna pa kutolea na kuwapa ukweli wao na aidha unaishia kutukana na kupewa Ban isiyo ya lazima.
Usipate shida tena... Thread yako ya kumpa maneno yake anaekukera hii hapa. Toa stress zako kwa ustaarabu bila kukanyaga sheria za JF. Mpe maneno yake kiungwana na umtag ili aone na yeye.
Dripboy na wengine njooni tuteme nyongo kistaarabu hapa.
Njooni.