Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

Pendaneni
Sameheaneni mnapokoseana
Maisha yaendelee

Kumchukia MTU hakukupi nafuu wala faida yoyote,kuwa na hasira ni kujiadhibu mwenyewe kutoka na makosa ya mwingine..wewe n mhanga wa kwanza wa hasira ukasirikapo

Chuki na hasira hukaa kifuani mwa mpumbavu na sio mwenye hekima.
 
Back
Top Bottom