Uliyemtag ndo anakukera si ndio...???Kiukweli humu JF sio kila mtu unamkubali na kumpenda kuna baadhi ya member wanakuudhi na kukukera ila hauna pa kutolea na kuwapa ukweli wao na aidha unaishia kutukana na kupewa Ban isiyo ya lazima.
Usipate shida tena... Thread yako ya kumpa maneno yake anaekukera hii hapa. Toa stress zako kwa ustaarabu bila kukanyaga sheria za JF. Mpe maneno yake kiungwana na umtag ili aone na yeye.
Dripboy na wengine njooni tuteme nyongo kistaarabu hapa.
Njooni.
@Nyani Ngabu nae ananikera sana humu JF sababu anawafanyiaga cyber bullying wanawake.
Ananikera saana.
Namchukia mno Alikiba mkuuMkuu kuwa wazi. Usikae na kitu rohoni. Leo tunaachia na kuwa free. Tunasema kistaarabu ili tuwe huru.
Nani anakukera humu JF!?
Dole la kati....
UchocheziHanikeri huyo. Nilikuwa namuita coz anae jamaa anaemkera.
Ushindwe na ulegeeeeeee.Namchukia mno Alikiba mkuu