Mkuu wewe ni mwanaume?Simpend yule mchawi na mlogaji mwenye kujitanabaisha na kujitukuza kwa kujitutumua ilihali kichwani ni mwehu mwenye gonorea isiyotibika akisubiri kufa mda wowote.
Mxxxxxuuuuuu, ptuuuuuuu
Itapendeza sana kama unafanya hip hop watajeNatamani niwataje hata kwa majina mxiiiiuuu
Kama unafanya hip hop weka jina twende sawaWananikera wanaume wanaojifanya wameelika kila idara kujifanya mababa wachungaji mbwa..aaaaaa koko tu
Aliyekuwaga anakunywa mafuta ya condom?Amna mtu ane nikera kama uyu bright platnumz saivi limekura ban nme frahi ..utoto mwingi
Mara anajfanya mwanahiphopWewe nae unanikeraga kila demu mkali JF unataka awe wako.
Ila fanya ubadirishe nguo humu tumekuchoka na hiyo suit yako.Poa poa mkuu.
Natamani niwataje hata kwa majina mxiiiiuuu
Nisiowapenda siwakumbuki maana wapo kwenye ignore list
Ni nzuri maana mtu humuoni unamsahau kabisa kama anaexistHata mm siku hzi nna ignore list💃💃
Heee nani huyo, mimi sinaga urafiki na watu wanaodhalilisha wanawakekuna mmoja "mnamshobokeaga" sana humu..i hate him a lot..!..yaan sijui ni nn..utadhan wanadaiwa nao
Heee nani huyo, mimi sinaga urafiki na watu wanaodhalilisha wanawake
Nani huyo mkuu??kuna mmoja "mnamshobokeaga" sana humu..i hate him a lot..!..yaan sijui ni nn..utadhan wanadaiwa nao
Kama yule unaemshobokea, mdhalilishaji mkuu.kuna mmoja "mnamshobokeaga" sana humu..i hate him a lot..!..yaan sijui ni nn..utadhan wanadaiwa nao
Kama yule unaemshobokea, mdhalilishaji mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kichaa mmoja anaitwa Elitwege.. hii takataka sijui inafanya nini jf yaan..