Njoo utoe stress zako kistaarabu kwa anaekukera humu JF.

kuna dem humu namtongoza tangia mwaka 2015 ananiambia jibu kesho kesho sasa miaka inazidi kwenda, ngoja niandae povu la karne nakuja kulimwaga hapa. NB: litakua ni povu lisiloumiza
 
Ahahahaha Ahahahaha... Nimependa povu lisilo umiza.
 
aisee kusema ukweli jf ni mwaka wa 6 sasa niko hum ukiachana na lumumba fc wanaokera kwa comments na threads zao, kuna jamaa wawili huwa wananikera sana nadhani hata nyuzi za huwa nafungua kwa bahati mbaya tu.
wakwanza ni Mshana Jr.
huyu mtu ni kihelehele pia anajitia ujuaji mwingi ni mtu wa matango pori. yeye kila kitu anajua

wa pili ni pididy
huyu jamaa huwa simwelewi kabisa ana uandishi kama vile mtoto wa chekechea, ni mbishi balaa! wazee wa jukwaa la kuweka mizigo nadhani wananielewa ninaposema ni mbishi,

ni hayo tu aisee
 
Kwa Mshana Jr nakuunga mkono mkuu anajifanya anajua kila kitu hapa Duniani na hataki kurekebishwa anapokosea, alifungua Uzi wake wa BMW humo kaelezea utumbo akaja mtaalamu kumrekebisha akang'aka.
Kafungua Uzi wa dent akarekebishwa hataki kuelewa.
Anakera Kweli.

Pdidy kutoka kwa wazee wa mzigo ana ID kama nane za kutuma tips mfululizo za kukera.
 
hovyo kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom