Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,384
Ha haa una uhakika utanifunga? Nikikufunga jee?
Tunakesha tukicheza.....uhakika wa kukufunga ninao though...uzoefu ninao na wewe wajua
Ha ha haaa..uko na experience ya mchezo huu vile vile? No uchakachuzi kweli? Haya na tuanze nshasogeza kete ya kwanza
Kukufunga wewe nishazoea....na wala sijawahi kuchoka...acha tukesheeee
Mfunike kabisa mama watoto mwambie leo unakesha sebuleni na mgeni, unacheza draft, nshakula kete za kutosha, twende kazi
kula kwa nafasi yako.....zamu yangu ukija usilie tu kwa sauti watu wakaamka...
ndio.
Salve Africa
Love you
Hongereni sana, sasa tunakutana wapi kwa ajili ya hafla fupi.....?
Nipo mahali nafanya Ukaguzi....nitaleta reports msijaliBila kumsahau 'Valentina'!
Pongezi mingi sana Filipo kwa kukumbuka suala nyeti kama hili.
Hakika tunahitaji kupongezana sana wote kwa kuuona huu mwaka ambao tuna malengo mengi sana nao!
Ila napenda kujua kama Tonykp yupo, maana anatafutwa sana na 'Valentina', na inasemekana amezima simu zote tokea mwaka jana!
Eti Filipo huyu vn anaweza kuqa mlezi wa ndoa unavomuona
Atawezaje kuwa mlezi wa ndoa wakati hana ndoa! Tangu amepigwa chini na sweetlady yupo anarandaranda tu humu! Nilimshauri aende kule lavu konekti akapitiliza jukwaa la chini! Huko ndo kumemwaribu!
cc: Vin Diesel
Atawezaje kuwa mlezi wa ndoa wakati hana ndoa! Tangu amepigwa chini na sweetlady yupo anarandaranda tu humu! Nilimshauri aende kule lavu konekti akapitiliza jukwaa la chini! Huko ndo kumemwaribu!
cc: Vin Diesel
shansarie....labda ujaribu kuongea na vivian.....jitihada zangu hazijazaa matundaHeeee love connect watu wanamasihara sidhani kama wako serious labda amcheck vivian penginee yupo single au unasemaje Vin Diesel
Ngoja aje kwanza atajibu