Njoo utupongeze!

Njoo utupongeze!

Tunakesha tukicheza.....uhakika wa kukufunga ninao though...uzoefu ninao na wewe wajua

Ha ha haaa..uko na experience ya mchezo huu vile vile? No uchakachuzi kweli? Haya na tuanze nshasogeza kete ya kwanza
 
Mfunike kabisa mama watoto mwambie leo unakesha sebuleni na mgeni, unacheza draft, nshakula kete za kutosha, twende kazi

kula kwa nafasi yako.....zamu yangu ukija usilie tu kwa sauti watu wakaamka...
 
kula kwa nafasi yako.....zamu yangu ukija usilie tu kwa sauti watu wakaamka...

Ha ha ha haaaaa....kumbe draft nalo linaliza tna kwa sauti??? Basi we mkareeeee.
Naahirisha mchezo hadi itakapotangazwa baadae lol
 
Nashukuru salamu zimefika.. Shemejio Paloma yuko bed rest anasubiri kudeliva mapacha.. Hapa niko bize kutafuta majina ya kuwapa.. Sijui kumbi na kumbinga yatawafaa lol.. Mpe salamu sana marejesho mwambie atayarishe vizawadi..


hahahahaaaaaaa...................makubwa paloma mie!!!!
 
Bila kumsahau 'Valentina'!
Pongezi mingi sana Filipo kwa kukumbuka suala nyeti kama hili.
Hakika tunahitaji kupongezana sana wote kwa kuuona huu mwaka ambao tuna malengo mengi sana nao!
Ila napenda kujua kama Tonykp yupo, maana anatafutwa sana na 'Valentina', na inasemekana amezima simu zote tokea mwaka jana!
Nipo mahali nafanya Ukaguzi....nitaleta reports msijali
 
Last edited by a moderator:
Eti Filipo huyu vn anaweza kuqa mlezi wa ndoa unavomuona

Atawezaje kuwa mlezi wa ndoa wakati hana ndoa! Tangu amepigwa chini na sweetlady yupo anarandaranda tu humu! Nilimshauri aende kule lavu konekti akapitiliza jukwaa la chini! Huko ndo kumemwaribu!

cc: Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Atawezaje kuwa mlezi wa ndoa wakati hana ndoa! Tangu amepigwa chini na sweetlady yupo anarandaranda tu humu! Nilimshauri aende kule lavu konekti akapitiliza jukwaa la chini! Huko ndo kumemwaribu!

cc: Vin Diesel

Heeee love connect watu wanamasihara sidhani kama wako serious labda amcheck vivian penginee yupo single au unasemaje Vin Diesel
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom