marejesho
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 6,635
- 3,656
Challenges tu.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hayo ni mawazo yako!!
nina mke ujue
Challenges tu.........
Huyo jamaa ni pepo la kuvunja ndoa! Yangu imemshinda, hakawii kuhamia kwako!
ni kweli, ndoa ya mke mmoja na iheshimiwe na watu wote
Rabeka..... Ngoja kwanza namuhudumia mume wangu mpenzi "chakula cha mchana" .....
Hata na vimada na mahawara....
Utasubiri sana!
hapana hapo utakuwa unakosea sana kwa kweli
Huyo jamaa ni pepo la kuvunja ndoa! Yangu imemshinda, hakawii kuhamia kwako!
Nani kasema....
Kwani ukiwa na mke vile via vinafanyiwa calibration kufit hapo tu?
Ndoa yao inalelewa na wadhamini wao!
hebu ajaribu!! ndiyo ata learn hapo hapo