Gidbang
JF-Expert Member
- Jun 1, 2014
- 4,482
- 3,999
kumbe umemwelewa huu ni high level utapeliNikiwa kama mfanyabiashara Uliposema tu muwekezaji hatahusishwa na hasara ndo uliponipeperusha........hio deal wazungu wanasema ni "too good to be true"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kumbe umemwelewa huu ni high level utapeliNikiwa kama mfanyabiashara Uliposema tu muwekezaji hatahusishwa na hasara ndo uliponipeperusha........hio deal wazungu wanasema ni "too good to be true"
Dah..bosi kampuni yenu ni DINI gani? Nimevutika mno..[emoji41]Mkuu kampuni ina properties inazomiliki so haiwezi kufa hadi kushindwa kuwalipa wawekezaji stahiki zao. Kwa wanaofanya biashara za mafuta hili wanalielewa vyema. Kumbuka kila kitu kinafanyika kisheria hivyo kufanya usalama wa pesa yako kuwa mkubwa. Nakukaribisha sana uwekeze Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...Bosi huwezi jua lengo la kampuni....labda ni kusaidia watu..au kufua pesa....Kuna watu wanaenda pigwa hapa
Mafuta faida yake ni 200 hadi 500 kwa lita
Kwa mtaji wenu nyie mtanunua kwa hawa wakubwa maana yake faida imepungua tena sio 500
Hao watu 100 wakijichanga kwa 2mil kila mmoja ni 200mil ambayo mtafanikiwa nunua tanker 2 kwa mkupuo
Faida huwez pata ya kuwagawia wote 10pc ya uwekezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatuna dini mkuu, wote wetu. Karibu sana mkuuDah..bosi kampuni yenu ni DINI gani? Nimevutika mno..[emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
Mkuu nimetoa ufafanuzi wa kutosha tu hapo juu namna ya ufanyaji wetu kazi na kila kitu kinafanyika kisheria hakuna longo longo. Kwa maelezo zaidi karibu ofisini kwetu Chanika Dar Es Salaam ujionee mkuu na upate ufafanuzi zaidi. AsanteHatari hii. Kuna sheria inavunjwa hapa. Kampuni private (LTD), hairuhusiwi kukusanya mtaji kutoka kwa public (uma) namna hii. Public company (PLC) mahali pake ni DSE.
Else aseme yeye ni benki anakusanya deposits....but ikiwa hivyo biashara ya mafuta haipo.
Lakini pia return (ROI) ya 10% kwa mwezi haipo mahali popote duniani....I can bet hata wanachimba mafuta hawapati hiyo ROI.
Nipo tayari kufundishwa/kuelimishwa hapa kuhusu hili....nimesoma zamani, huenda mambo yamebadilika sasa.
Mwanzo nilidhani ni issue ya April Fools, but naona ni thread ya 31/03/2019.
Chanika kubwa sehemu gani?Ofisi zetu zipo Chanika Dar Es Salaam ambapo ndipo ilipo biashara husika ilipo pia. Karibu sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hakuna risk ya "hasara"😂😂Faida ya 10% kwa mwezi,sidhani kama mtatoa hiyo kwa muda wote.Ungesema 10 or 20 kwa Mwaka ningewapa kipaumbele kidogo.Waelezeni wawekezaji ukweli,iyo faida mnayotarajia in kubwa sana,hats makampuni ya DSE hayatoi kiwango hiko kwa Mwaka,yaani almost 120%profit per year.
kumbe umemwelewa huu ni high level utapeli
Kwani mkuu ukiweka bank fixed deposit then kwa bahati mbaya bank ikapata hasara pesa yako itapotea ama utaipata? So huo ni mfano tu mkuu, ungekua shareholder ndio ungehusika kwenye hasara haya mbona yanafanyika sehemu nyingi tu Duniani mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.. kiukweli sijavutiwa na biashara yenu...kilichonivuta Ni IMANI yenu tu[emoji41]
Nina Uzoefu mkubwa na mambo ya mafuta,
Kampuni yako inaitwaje wewe? Mbona hutaki kuitaja? Ama ni genge tu? Wizi mtupu!Ni Kituo cha mafuta mkuu, retail service station. Gas ni Oryx, Mihan na Lake gas
Sent using Jamii Forums mobile app
UWEKEZAJI KATIKA BIASHARA YA MAFUTA
Nimeona niwaletee fursa niliyonayo ambayo inahusiana na uwekezaji kwenye biashara na kuweza kujiongezea kipato nje ya mshahara au kazi yako unayofanya, fursa hii inawahusu watu wote ila nimeona ni vyema nanyi niwashirikishe kuliko kuwafaidisha wengine tu nikawasahau ndugu zangu, sasa twende pamoja kuijua fursa hii!
Tuna kampuni inayojihusisha na biashara ya mafuta na gas ambapo tumeona ni vyema kuwashirikisha wadau katika uwekezaji wa biashara hii ya mafuta.
Tunakaribisha watu mbalimbali kuwekeza kwenye mradi wetu wa mafuta kiasi ambapo mwekezaji atakua anapata Gawio la 10% kila mwezi kutokana na uwekezaji wake na baada ya muda wa mkataba tuliokubaliana kumalizika mhusika anaweza kuamua kuhuisha mkataba wake ama akachukua hela yake aliyowekeza. Namna ya kuwekeza ni kama ifuatavyo ;
1. uwekezaji huu unafanyika kisheria kwa kufuata taratibu zote za uwekezaji katika miradi za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya usimamizi wa mwanasheria wa kampuni!
2. Mwekezaji atalipwa gawio la 10% ya Gharama ya uwekezaji wake kila mwezi bila kuathiri pesa yake aliyowekeza.
3. Mwekezaji hatahusishwa na hasara yoyote itakayojitokeza ktk uendeshaji.
4. Mwekezaji hatohusishwa na Gharama yoyote ya uendeshaji.
5. Kiwango cha chini cha uwekezaji ni 100,000 na Kiwango cha juu ni 2,000,000 kwa mtu binafsi. Kwa taasisi au kampuni kima cha chini cha uwekezaji ni 500,000 na kima cha juu ni 10,000,000 kwa taasisi au kampuni moja.
6. Mkataba wa uwekezaji kwa mtu binafsi utahuishwa kila baada ya miezi 3 ( hivyo kila baada ya miezi 3 utaamua kuendelea kuwekeza au kuondoa pesa yako kwenye uwekezaji). Kwa taasisi au kampuni muda wa kuhuisha mkataba ni kila baada ya miezi 6.
7. Gawio litatolewa tar 1 ya kila mwezi kupitia account ya kampuni ( hapa pesa hutumwa kwa mhusika automatically kwa kutumia system ya bank inayotumiwa na kampuni yetu).
8. Mwekezaji anaruhusiwa kukagua mradi wetu wa mafuta na documents zote za usajiri kisheria ili kujiridhisha kabla hajaamua kuniunga na mradi.
9. Mwekezaji anaruhusiwa kuwa na mwanasheria wake au shahidi wakati wa kufanya makubaliano ya mkataba.
Sifa za Mwekezaji ni kama ifuatavyo ;
1. Anatakiwa kuwa mtanzania wa kuzaliwa au kuandikisha (akiwa sio mtanzania anapaswa kuwa na kibali cha kuishi nchini na kibali cha kufanya kazi nchini)
2. Anatakiwa kuwa na umri usiopungua miaka 18.
3. Awe na akili timamu.
4. Jinsi zote.
5. Awe na kitambulisho cha Taifa, cha mpiga kura au leseni ya udereva. Picha moja passport size.
6. Shilingi elfu 2 ya kulipia form.
7. Pesa ya uwekezaji isiyopungua 100,000 kwa mtu binafsi na 500,000 kwa taasisi.
NB : Kwa aliyekidhi vigezo tajwa hapo anazo sifa za kuwa mwekezaji wetu, tunahitaji wawekezaji 100 kwa awamu ya kwanza.
Dirisha la usajiri kwa awamu ya kwanza litafungwa tarehe 30 April 2019.
Tunapenda kuwakaribisha nyote katika uwekezaji huu wa kibiashara, kwa watakaowiwa kuwekeza wawasiliane nami kwa maelezo zaidi kupitia ;
0764 143 900
0715 143 900
hemedrenatus@yahoo.com
hgecompany@gmail.com
Ahsante
Sent using Jamii Forums mobile app
nashkuru nitakujaOfisi zetu zipo Chanika Dar Es Salaam ambapo ndipo ilipo biashara husika ilipo pia. Karibu sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndo ukweli, ukiona unaitwa kwenye fursa jua ww ndo fursaKuna watu wanaenda pigwa hapa
Mafuta faida yake ni 200 hadi 500 kwa lita
Kwa mtaji wenu nyie mtanunua kwa hawa wakubwa maana yake faida imepungua tena sio 500
Hao watu 100 wakijichanga kwa 2mil kila mmoja ni 200mil ambayo mtafanikiwa nunua tanker 2 kwa mkupuo
Faida huwez pata ya kuwagawia wote 10pc ya uwekezaji
Sent using Jamii Forums mobile app