Njooni mtufundishe kula panya, mbwa, punda na viumbe wengine wa ajabu ajabu

Njooni mtufundishe kula panya, mbwa, punda na viumbe wengine wa ajabu ajabu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Wananzengo hamjambo?

Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu.

Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani?

Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri.

Tushawishini na sisi, ili nasi tuanze kula panya, punda, mbwa, kenge, mende na viumbe wengine wa ajabu ajabu.​
 
Back
Top Bottom