Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 33,679 Reaction score 49,841 Nov 22, 2024 #1 Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani? Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri. Tushawishini na sisi, ili nasi tuanze kula panya, punda, mbwa, kenge, mende na viumbe wengine wa ajabu ajabu.
Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani? Inawezekana sisi tunawaogopa bure, huku nyie mkifaidi peke yenu kula vitu vyenye ladha nzuri. Tushawishini na sisi, ili nasi tuanze kula panya, punda, mbwa, kenge, mende na viumbe wengine wa ajabu ajabu.