MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
Ni mchagaKama ni mpare weka ndani faster huyo ni mke
Sio mbaya unaweza kuweka ndani at your own risk ila huo upande wapare number one Kisha wachaga wa rombo na marangu the rest no commentNi mchaga
Enough with your preaches.!Future is uncertainty, everything is unknown and unknowable.
Everything is about trading we're just betting our future but we aren't sure with it since anything can happen between.
An event can be extremely likely to happen and still not happen and an even can be extremely unlikely to happen and still happen.
But we bet where we've a high probability odds staked to our favor.
None and I say none can see the future only creator who knows when we gonna die and everything that will happen in between.
Because of our ego and reason we love to create narration to feed our ego that we can foresee the future
Lisemwalo lipo mkuuHivi huko Marangu si ndiyo wanakotoka Waparestina?, kijana huoi kabila lake unamuoa yeye kama mwanamke....
Kuna kaka yangu mmoja alioa mpare ila alichokutana nacho kilipelekea sisi vijana wengine kupigwa stop kuoa tena kwenye ilo kabila.Sio mbaya unaweza kuweka ndani at your own risk ila huo upande wapare number one Kisha wachaga wa rombo na marangu the rest no comment
My advice chunguza familia kwanza, if mama ana power na sauti sana kuliko mzee, that how atataka awe na ww kwenye ndoaUghonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Wewe unaoa kaskazini au mke ?Ughonile..

Shirikisha tujue huenda changamoto ilikuwa upande wakeKuna kaka yangu mmoja alioa mpare ila alichokutana nacho kilipelekea sisi vijana wengine kupigwa stop kuoa tena kwenye ilo kabila.
Asante
Wewe unaoa kaskazini au mke ?
Kwa hizi akili bado hajawa matured kuoa subiri ukue kwanza
Kiufupi kipindi Bro yupo hai mwanamke alikua anatoroka anaenda kufanya umaid kwenye Bar anakaa mpaka muda ataojisikia yeye kurudi Nyumbani. Alivofariki mke aliuza kila kitu alichoachiwa na bro akaondoka na watoto kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.Shirikisha tujue huenda changamoto ilikuwa upande wake
acheni promo za kipuuziKama umemuona anakufaaa muweke ndani na uhakika utatoboa kimaisha hamna mchaga mzembe kichwani