Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Hawafai na ni hatari, nipe namba yake nimuhoji.Ughonile..

Miguu ina nini?Marangu hawana shida Kama unakipato halali. Ni wacha Mungu wazuri, Wana maumbo mazuri Ni wasafi na elimu wanayo. Tatizo lao miguu tu.
😂😂😂😂Wapalestina ni Machame Mangi.... Marangu ni wapenda maisha mazuri yaani hela na Umalaya ndio kwao.... Akina Jackline Wolper haoHivi huko Marangu si ndiyo wanakotoka Waparestina?, kijana huoi kabila lake unamuoa yeye kama mwanamke....
Yeah...atulie kwanzaKama umefanya maamuzi na bado una wasi wasi ,achana na ayo mambo,fanya mambo mengine.
Inasemekana ni mwembambaMiguu ina nini?
Mmmmmmh!!Kama umemuona anakufaaa muweke ndani na uhakika utatoboa kimaisha hamna mchaga mzembe kichwani
Unawapigia debe Dada zako wa Kilimanjaro au sio?Kama ni mpare weka ndani faster huyo ni mke
Zinawapigia promosheni Dada zao za Kilimanjaro ziolewe ila ni viburi mbayaacheni promo za kipuuzi
Angalia tabia usiangalie kabila,Ughonile..
Nikiri tu kuwa mchakato wa kupata mwanamke sahihi wa kuoa ni mgumu sana na unaelekea kunishinda.
Mpaka sasa nmetokea kuwa na nyota ya kuwa na wadada wengi kwenye mahusiano wa iyo kanda pendwa kwa wanaume na nmetokea kudata kwa binti mmoja wa Marangu na tunapoelekea ni kwenye ndoa maana tushatambulishana kilichobaki ni mahari na tumepanga kufunga ndoa mwakani mwezi wa 6 panapo majaliwa ya mwenyezi Mungu.
Before niingie kwenye hii jela ya kuridhia naomba kwa wale waliooa kwenye iyo kanda watupe uzoefu tafadhali maana wanaongoza kwa kusemwa vibaya kila siku ila ndo wanaongoza kuolewa hapa Daslam
Nawasilisha.
Hio wapi Kilimanjaro moja? Chagga & Pare originalityKiufupi kipindi Bro yupo hai mwanamke alikua anatoroka anaenda kufanya umaid kwenye Bar anakaa mpaka muda ataojisikia yeye kurudi Nyumbani. Alivofariki mke aliuza kila kitu alichoachiwa na bro akaondoka na watoto kwenda kuolewa na mwanaume mwingine.
Kabila linasadifu tabia kuna makabila kutembea uchi ni sehemu ya mila na desturi zao, upo tayari kuoa mke mtembea uchi?Angalia tabia usiangalie kabila,
Mzee wangu lazima ulisome kabila kabla haujaingia kwenye mila na desturi za watu sio baadae ukoo mzima unahamia kwako uwalishe unaanza kukaza macho, wao kwao kuhamia kwa mtu aliemuoa ndugu yao ni kitu cha kawaida kumbe wewe kwenye desturi zenu haipo hio hapo lazima upasukeMi naona haya ya kabila hili wapo vipi na wale wapo vipi ni masuala ya kizamani, nyie weusi mnabaguana nyie kwa nyie kwanini waarabu ,wazungu nawahindi wasiwabague mwishowe mnaanza kulia mnabaguliwa....
Haa mambo ya makabila na tabia ni zilipendwa kipindi hicho wazee wetu wanakulia vijijini wanakuja mjini kutafuta maisha, katika ile kujichanganya wanakutana na watu wenye tabia tofauti tofauti wametoka nazo vijijini...
Hivi sasa vijana hawa wa mjini anakuambia mchaga au mkurya lakini hana tabia hizo...
We kama umempenda oa tu.. jamii hivi sasa imeelimika na jamii nyingi zinaishi kwa pamoja...
Sasa unataka mguu mnene wa nini? Kikubwa kama shepu ipo inatosha, miguu unafanyia kazi gani mkuu? 🤣Inasemekana ni mwembamba
Hata shepu haina kazi kwa wengine... kikubwa K iwepoSasa unataka mguu mnene wa nini? Kikubwa kama shepu ipo inatosha, miguu unafanyia kazi gani mkuu? 🤣