Mheshimiwa inaonekana geography yako ni duni kabisa. Mwezi sura yake hubadilika Kila wakati! Mwezi huchukua siku kumi na nne kwenye rotation and about 27.5 days to revolve around the earth. Ule weusi kama wungi ambao sometimes huonekana kwenye mwezi ni mashimo ambayo mwezi unagongwa na asteroids. Kuwa mchunguzi, mwezi haubadiliki kutegemea mtu alipo. Wote tunaona uso uleule unaong'aa siku hiyo,tofauti ni muda tu wa mwezi kung'aa kutegemea jua kuzama mtu alipo. Upo hapo?