Njooni tuelimishane

Njooni tuelimishane

Mheshimiwa inaonekana geography yako ni duni kabisa. Mwezi sura yake hubadilika Kila wakati! Mwezi huchukua siku kumi na nne kwenye rotation and about 27.5 days to revolve around the earth. Ule weusi kama wungi ambao sometimes huonekana kwenye mwezi ni mashimo ambayo mwezi unagongwa na asteroids. Kuwa mchunguzi, mwezi haubadiliki kutegemea mtu alipo. Wote tunaona uso uleule unaong'aa siku hiyo,tofauti ni muda tu wa mwezi kung'aa kutegemea jua kuzama mtu alipo. Upo hapo?
 
logic rahisi tu ila kuna watu humu vichwa ngumu na ubishi wanaleta huku wakiwa hawajajibu swali..

kwa jibu lakitafiti kabisa mwezi unamzunguko mmoja tu wa kuizunguka dunia na sio ule wakujizungusha wenyewe kila siku picha mwezi utaziona ni zilezile!,upande wapili wa mwezi ni giza tu au waweza sema kuna kimvuli..
kwanini tunaona upande mmoja...?
hii nikwasababu ya gravity yadunia yetu kwa tafsiri nyengine mwezi unashindwa kujizungusha wenyewe kwasababu upo karibu sana na dunia hivyo gravity yadunia imeiathiri mwezi kutokuwa na rotation yake.. hayo ndio majibu yakiufupi kabisa kuelewa itategemea nakichwa chako kwenye mambo ya sayansi ya anga.
 
1. Yah, mwezi unazunguka Dunia na kujizungusha kwenye muhimili wake

2. Mwezi unatumia siku takribani 27 kukamilisha mzunguko mmoja kuizunguka dunia, na vilevile unatumia mda huo huo kukamilisha mzunguko mmoja kwenye muhimili wake, Hii dhana inayojulikana kama Tidal Locking ndio inayofanya tuone upande mmoja tu wa mwezi

3. Mwezi unazuguka pia kwenye muhimili wake.
Mkuu elezea Sababu znazoufanya mwez uwe na tidal locking??? Pia why Dunia haina hyo tidal locking???
 
Uongo
 
logic rahisi tu ila kuna watu humu vichwa ngumu na ubishi wanaleta huku wakiwa hawajajibu swali..

kwa jibu lakitafiti kabisa mwezi unamzunguko mmoja tu wa kuizunguka dunia na sio ule wakujizungusha wenyewe kila siku picha mwezi utaziona ni zilezile!,upande wapili wa mwezi ni giza tu au waweza sema kuna kimvuli..
kwanini tunaona upande mmoja...?
hii nikwasababu ya gravity yadunia yetu kwa tafsiri nyengine mwezi unashindwa kujizungusha wenyewe kwasababu upo karibu sana na dunia hivyo gravity yadunia imeiathiri mwezi kutokuwa na rotation yake.. hayo ndio majibu yakiufupi kabisa kuelewa itategemea nakichwa chako kwenye mambo ya sayansi ya anga.
Dah we jamaa mbona mweupe sana...Kwan lazima kujibu kama hujui?
 
Narudia kueleza waheshimiwa mnielewe: mwezi unaozunguka dunia siku 27.5 kulizungusha kwenye mhimili wake kwa siku 14.Angalia kuanzia siku ya 13 -17 tangu mwezi uandame utaona kuwa sura ya mwezi inavyobadilika. Siku hizo ni wakati tunaita full moon yaani tunaona nusu kamili ya uso wa mwezi.Wale wanaosema ni kazi ya Mungu ni wavivu kufikiri, haamini uchunguzi,ujuzi, sababu za kisayansi, wamefunga milango ya kujifunza.Wao kila kitu Allah! Ni upofu wa akili.
 
moon-phases.en.gif
 
logic rahisi tu ila kuna watu humu vichwa ngumu na ubishi wanaleta huku wakiwa hawajajibu swali..

kwa jibu lakitafiti kabisa mwezi unamzunguko mmoja tu wa kuizunguka dunia na sio ule wakujizungusha wenyewe kila siku picha mwezi utaziona ni zilezile!,upande wapili wa mwezi ni giza tu au waweza sema kuna kimvuli..
kwanini tunaona upande mmoja...?
hii nikwasababu ya gravity yadunia yetu kwa tafsiri nyengine mwezi unashindwa kujizungusha wenyewe kwasababu upo karibu sana na dunia hivyo gravity yadunia imeiathiri mwezi kutokuwa na rotation yake.. hayo ndio majibu yakiufupi kabisa kuelewa itategemea nakichwa chako kwenye mambo ya sayansi ya anga.
Si kwel,muda ambao mwezi unatumia kuzunguka kwenye mhimili wake ni sawa sawa na muda unaotumia kuizunguka dunia ndio maana tunaona upande mmoja wa mwezi,Mwezi hauna mzunguko mmoja kama unavosema.
 
Ni kipi kinafanya haya madude yazunguke
Hayo madude hayazunguki,they are constantly falling towards each other.Chukulia mfano mwezi na dunia,mwezi unatembea kwenye speed ambayo ukicombine na namna unavofall inasababisha u move kwenye curved path ambayo ni sAsawa na curvature of the earth.
 
Si kwel,muda ambao mwezi unatumia kuzunguka kwenye mhimili wake ni sawa sawa na muda unaotumia kuizunguka dunia ndio maana tunaona upande mmoja wa mwezi,Mwezi hauna mzunguko mmoja kama unavosema.
🤣🤣
mi nishachoka kuandika nyie mtakavyoona ndo hivyohivyo hapa ila mkuu kaa tena ufikirie ulichoandika utaona wapi kuna shida! waafrika tuachiwe sayansi zamatunguli tu..😅
 
1. Je mwezi nao huwa una mizunguko miwili Kama Dunia yetu?

2. Kama mwez hauna rotation bas huwa tunauona sehem ya upande mmoja tu, au mim nko wrong??

3. Kama mwez haujizungush kweny mhimili wake Ni sababu gan ya Kifizikia inayosababisha Dunia iwe na rotatiion na revolusion badala ya revolusion pekee Kama ulivyo Mwezi???

NB: Revolution kweny Mwezi namaansha Mwezi kuizunguka Dunia
kama tulivyo kubaliana dini ni tofauti ila shetani ni mmoja😁
Wakati mwingine tujaribu kukubali uthibitisho wa mambo tunayo yaona na sio kukimbilia kwenye kivuli cha Mungu ndie anaye jua. Sijakataa
Lakini kumbukeni tuliumbwa kwa mfano wake lazima tufanye vitu ambavyo yeye aliviweka kwaajili yetu na ndio maana tukapewa akiri.
 
🤣🤣
mi nishachoka kuandika nyie mtakavyoona ndo hivyohivyo hapa ila mkuu kaa tena ufikirie ulichoandika utaona wapi kuna shida! waafrika tuachiwe sayansi zamatunguli tu..😅
Uschoke mkuu,hapa wote tunapeana elimu tu
 
Back
Top Bottom