Njooni tuitakie kila la kheri timu yetu ya Simba kwa mechi ya leo, maana sisi hatushindagi kwa bahasha!

Njooni tuitakie kila la kheri timu yetu ya Simba kwa mechi ya leo, maana sisi hatushindagi kwa bahasha!

44mg44

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2019
Posts
2,158
Reaction score
2,186
Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu.

Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili timu yetu ishinde.
 
Wako Hoi na uchungu mwingi, balaa zaidi Leo ikatokea wamelazimishwa sare. Naogopa wakifungwa yanaweza tokea mambo tusiyo yatarajia.
 
Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala,ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde.
Kumbukeni sis huwa hatushindi ushind wa kununua,ko huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu
Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili tim yetu ishinde
Ebu aingalie hii video alafu ujione ulivyokua mnafki
 

Attachments

  • 1667136146713.mp4
    2.6 MB


Kila La Heri Siku Ya Leo

One Team, One DreAm
Simba Nguvu Moja
 
Utafunguliwa tu muda bado.
Mh toka lini wakachelewa hivi?makolo mechi inafunguliwa uzi saa 1 asubuhi sema kuna kitu bado kinauma,nguvu ya kuwahi kufungua inatokea wapi,kila wakiandika wanafuta[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wako Hoi na uchungu mwingi, balaa zaidi Leo ikatokea wamelazimishwa sare. Naogopa wakifungwa yanaweza tokea mambo tusiyo yatarajia.
Ungekuwa hivyo Yanga ingefedheheka mno, maana hiyo ndio huwa inafungwa kwa aibu mno
 
Leo simba ikikaza sana itapata sare
 
Back
Top Bottom