Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa mnapata Nini pale unapopoteza muda wako kumuangalia mwanaume mwenzako akiwa kazini. Yaani yeye anaingiza hela wewe unapoteza. Huwa nawaza na wazua sipati jibu. Kama zawadi hampati mpaka wewe.Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala,ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde.
Kumbukeni sis huwa hatushindi ushind wa kununua,ko huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu
Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili tim yetu ishinde