Bado kidonda hakijapona. Na Leo uhakika ni mdogoWhy hakuna mwenye ham ?
Ebu aingalie hii video alafu ujione ulivyokua mnafkiWanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala,ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde.
Kumbukeni sis huwa hatushindi ushind wa kununua,ko huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu
Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili tim yetu ishinde
Utafunguliwa tu muda bado.Hakuna mwenye hamu ya kufungua Uzi wa live mapema
Mh toka lini wakachelewa hivi?makolo mechi inafunguliwa uzi saa 1 asubuhi sema kuna kitu bado kinauma,nguvu ya kuwahi kufungua inatokea wapi,kila wakiandika wanafuta[emoji23][emoji23][emoji23]Utafunguliwa tu muda bado.
Well, Kila la kheri kama mshaponaSio kweli mkuu
Sisi hatuweweseki kwa sababu kwa Yanga tunajua matokeo ni matatu kushinda, sare au kufungwaNyiny mshapona mkuu??