Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Please, can you put these two statements in English:Let me write.in kiswahili the
language I believe you master better than English.
Mfano Ulikuwa unayo kalamu baadaye ikapotea kwa mfano siku 2 hivi, hiyo peni akaikota mtu na akakuletea. Kesho yake huyo mtu akaja kwako na ukaanza kumuhadithia habari ya hiyo kalamu.
Kwamba: Kalamu uliyonipa iliyokuwa imepotea.
Uliyonipa------ You gave me,
Iliyokuwa imepotea (katika muda wa kabla hajakuletea hiyo kalamu) ---- have had been lost.
Wewe unajitahidi katika kiingereza ukilinganisha na Watz tuliowengi isipokuwa nimeona unatakiwa u perfect (you are in a perfection level) kiingereza chako.
Kwanza, Jifunze the 5 (five) conditinal sentences, Zero , General, imaginative, impossible (too late) and the mixed conditiinals, jifunze stative verbs na tenses.
1. Kalamu uliyonipa ilikuwa imepotezwa.
2. Kalamu uliyonipa ilikuwa imepotea.