Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hahaha hilo ndio soka la bongoSiku zote nilikuwa najiuliza kwa miaka hii mitatu/minne iliyopita inakuwaje Simba ipo "on fire" kweli kweli lakini ikikutana na Yanga wanakaa kimajabu ajabu wakijipapatua sana ushindi wao ni droo. Leo ndio nimejua sababu mubashara kumbe walikuwa wanahujumiwa bila kujua.
Well saidNaona wanasimba tumepanic kipuuzi kisa Manara kuhamia Yanga. Hakuna kitu kipya.
Ukweli ni kuwa, Manara amekuwa mwajiriwa wa GSM kwa miaka kadhaa, GSM ndio wafadhili wa Yanga, na leo GSM wamempangia kazi pale Jangwani.
Pili Manara alishaondolewa Simba, hana mkataba na Simba, leo amekwenda Yanga kama mtu huru. Anapambana na maisha yake, tusiumie sana.
Nadhani wengi hawajapaniki lakini ninachokiona hapa ni kuwa baadhi ya mashabiki wa Simba walikuwa wameaminishwa na Manara kuwa yeye ni Simba damu halafu kaonewa kufukuzwa Simba. Lakini kwa kitendo alichokifanya leo ndio wengi sasa wanashtuka kuwa Simba ilikuwa na kiongozi/mfanyakazi ambaye ni shabiki wa Yanga damu ambaye uongozi ulimshtukia ukamfukuza. Kwa vyovyote vile lazima mashabiki wa Simba waduwae hasa ukizingatia wengine waliwatukana sana Babra na Mo wakati wanamtete huyo Manara.Naona wanasimba tumepanic kipuuzi kisa Manara kuhamia Yanga. Hakuna kitu kipya.
Ukweli ni kuwa, Manara amekuwa mwajiriwa wa GSM kwa miaka kadhaa, GSM ndio wafadhili wa Yanga, na leo GSM wamempangia kazi pale Jangwani.
Pili Manara alishaondolewa Simba, hana mkataba na Simba, leo amekwenda Yanga kama mtu huru. Anapambana na maisha yake, tusiumie sana.
Hiyo ni edit au macho yangu mana wengine huku tulipo mwisho wa upepo tv mpaka mjumbe tena ya chogo
We ukishaona mtu mpaka wanamuwekea bugs ili kumtrace ujue indications zake za kiusaliti ndio ziliowafikisha hapoSimba tumeuzwa kwa muda mrefu sana na huyu mtu.
Kakangu alikua anakaa mtaa wa Twiga ni mwanayanga na amekua na hao kina Haji,aliwai kuniambia miaka mitatu nyuma ya kuwa,"Haji hajawai kuwa Simba"
Yeah huyu ni kakakuona uongozi wa simba ulikua makini sana kuona angle hiiHizi mechi za Simba alizopoteza kimiujiza miujiza huyu jamaa alihusika.Ndio maana Yanga walikuwa na confidence kuifunga Simba huku wakisema wana mtu wao Simba.Kumbe ni huyu jamaa!?!
Jibu limepatikana huyu mwehu alikuwa man behind the shitSiku zote nilikuwa najiuliza kwa miaka hii mitatu/minne iliyopita inakuwaje Simba ipo "on fire" kweli kweli lakini ikikutana na Yanga wanakaa kimajabu ajabu wakijipapatua sana ushindi wao ni droo. Leo ndio nimejua sababu mubashara kumbe walikuwa wanahujumiwa bila kujua.
Hata ungekua wewe laki 7 kwa milioni 9..!Njaa mbaya
Umeongea vizr sana mkuu. Ila sidhani kama kuna mwanasimba mwenye akili amepaniki. Ila ninavyoona Mimi ni kwamba saizi simba ndo imekua imeungana zaidi. Kwa sababu ile situation ya manara simba tuligawanyika. Wengine tuliona manara anasingiziwa. Wengine tukaona ni kwa sababu ya maslahi ya biashara za MO. Lakini tukio la Leo kuhamia Yanga. Barbara ameibuka kua shujaa na hili limeimarisha sana umoja wa simbaNaona wanasimba tumepanic kipuuzi kisa Manara kuhamia Yanga. Hakuna kitu kipya.
Ukweli ni kuwa, Manara amekuwa mwajiriwa wa GSM kwa miaka kadhaa, GSM ndio wafadhili wa Yanga, na leo GSM wamempangia kazi pale Jangwani.
Pili Manara alishaondolewa Simba, hana mkataba na Simba, leo amekwenda Yanga kama mtu huru. Anapambana na maisha yake, tusiumie sana.
Hakuna cha kuhujumiwa hapo, issue ilikuwa ni presha ya wachezaji wakikutana na yanga. Utulivu ulikuwa below 50% ndo maana tulikuwa hatuambulii kitu cha maana.Siku zote nilikuwa najiuliza kwa miaka hii mitatu/minne iliyopita inakuwaje Simba ipo "on fire" kweli kweli lakini ikikutana na Yanga wanakaa kimajabu ajabu wakijipapatua sana ushindi wao ni droo. Leo ndio nimejua sababu mubashara kumbe walikuwa wanahujumiwa bila kujua.
Mfano mkeo au una mausiano fulan inatokea una shuku au una wasiwasi jiran yako au mtu unaemfaham ana ukaribu ambao unaatalisha kabisa labda ndoa yako au mausiano kwa kawaida unaweza kufanya uchunguzi na ukaongea nae muhusika akaruka mita mia na kuapa mitume na manabii na machozi juu ,baada ya muda fulan kwel ndoa au mausiano yanakufa kwa sababu ile ile apo apo yule yule uliekua unamuhusisha kwamba ndie anaetaka kukuvurugia kaz yako au mausiano yako wanaungana tena na yule yule mtu wako au bosi wako ,hivi kibinadam ww utaamin vip,kwa sababu kama suhala lilikua maslai au anaonewa mbona mwenyewe anakir hakua na mkataba alishindwa vip kuvunja huo mkabata bila kuwachafua wenzake ili akafanye kaz sehem ambayo nzur zaid mara nyingi unapopata kaz au unapopata mausiano mazur zaid ya mwanzo kiustaarabu unaaga vizur munaachana vizur na kwenda sehem sahihi lakin uyu haji alitumianisha kwamba yeye ni malaika hakua mkosaj ila viongoz wa simba ndio waliomkosea inawezekana ikawa kwel maana ata hao viongoz wa simba wana mapungufu lkn je yeye haji ni mkamilifuMie sio fan wa Mpira wa Tanzania but nachojua kutokea kwa tukio moja linaweza kubadilisha muelekeo wa tukio lifuatalo.
Yawezekana kabisa Mo akawa chanzo cha Manara kuondoka Simba,sasa sijui baada ya kuondoka mlitaka akae bila kazi? I'll athibitishe kuwa anaipenda Simba.