Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,775
- 29,746
Mume anamtuhumu Mke kua ana mahusiano ya Siri na Bwana Fulani. Baada ya Mke kuachika tu kaenda kuolewa na yuleyule aliekua akituhumiwa nae.Ule msemo wa kuwa Siasa haina rafiki au adui wa kudumu naomba leo uhamie kwenye soka!
Mimi binafsi naomba Mo unisamehe, niliaminishwa maneno kuwa wewe ni mbaya na jamaa fulani ila leo nimeamini tulidanganywa!
Kweli muda ni mwalimu mzuri sana!
Hii ndo waswahili wanasema ukitaka kumjua mume mwenzio basi muache mkeo.