Hiyo ndiyo fact limetokea Uganda.Naam mkuu
Tunaweza kupatq facts za hili?
Neno "Walokole" limetokea kwenye lugha ya Kiganda kutoka Uganda.Naam mkuu
Tunaweza kupatq facts za hili?
Ni neno la Kitanzania tu lililotokea kule east african revival, nadhani ilikuwa miaka ya 1930 kutokana na dhana ya Kuokoka.Je neno au jina la Walokole limetokea wapi? Je kuwa Mkristo ni hatua ya awali kisha ulokole ni daraja la juu?
Kama haonekani wewe umejuaje kwamba analala guests?Ni kujihesabia haki kulikochanganyika na ujinga,coz utamsikia muamini akikwambia “Mimi kabla sijaokoka ulikuwa hunikosi bar nilikuwa nakesha bar mpaka asubuhi” wakati huo huo skate mtaani hazimpiti.
Ameacha kukesha bar sasa anakesha guest akizini anadhani kwa sababu haonekani basi siyo dhambi.
Thread ifungwe zaidi ya hapa basi mleta mada atakua na chuki bifsiNeno "Walokole" limetokea kwenye lugha ya Kiganda kutoka Uganda.
Maana yake halisi:
Walokole = "Waliokolewa" kwa Kiswahili
Inatoka kwenye kitenzi cha Kiganda "okola" = kuokoa
Historia fupi ilivyotokea:
Miaka ya 1930 huko Rwanda na Uganda kulikuwa na kundi la Wakristo waliokuwa na shauku kubwa sana na Mungu. Waliitwa "East African Revival" kwa Kiingereza.
Watu wa kawaida walianza kuwaona na kuwaambia:
"Aba lokole" kwa Kiganda = "Watu waliokolewa"
Kutokana na maisha yao ya toba, kuomba sana, na kuishi tofauti na wengine.
Neno hilo likasambaa sana East Africa yote. Hadi leo nchi kama Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda wanatumia Walokole kumaanisha Wakristo waliozaliwa mara ya pili au Wakristo wa Pentekoste/Karismatiki waliokolewa na wanauishi maisha ya utakatifu.
Kwa hiyo leo:
Unaposikia "Walokole" inamaanisha:
1. Kikundi cha watu waliopata wokovu
2. Mtindo wa ibada wenye sifa za: kuimba kwa nguvu, kuomba, kuhubiri wokovu, na maisha ya kuepuka dhambi
Kitu cha kufurahisha:
Awali neno lilikuwa ni la kejeli kidogo. Watu wengine waliwatania wakisema "hawa ni Walokole". Lakini baadaye wakalibeba wenyewe kwa fahari 😊
Kwa kifupi: Walokole = Waliokolewa na Yesu
kila kitu huwezi ukafanya kwa usahihi utaonekana wakati ukiingia au matokeo ya hayo unayoyafanya mafichoni yataonekana hadharani mimba maradhi etc.Kama haonekani wewe umejuaje kwamba analala guests?
Hivi wote wanajifanya au baadhi yao?kila kitu huwezi ukafanya kwa usahihi utaonekana wakati ukiingia au matokeo ya hayo unayoyafanya mafichoni yataonekana hadharani mimba maradhi etc.
Mungu tu anajua yupi msafi yupi mchafu kujifanya mwokovu ni kujilisha upepo.
Je Bwana Yesu alitaka sisi tuliookolewa kwa kumkiri tuitwe wanafunzi wake au walokole?😊
Kwa kifupi: Walokole = Waliokolewa na Yesu
Kuwakubali ama kutowakubali siyo tatizo sana.Walokole siwakubali hata siku moja. Lazima mkubaliane na huu ukweli wangu, lakini msinitenge ndugu zangu.
Uanafunzi ni mchakato mwingine mara baada ya kuokoka. Mlokole = Aliyeokoka. Siyo kila aliyeokoka ni mwanafunzi wa Yesu, ila wapo walokole ambao ni wanafunzi wa Yesu.Je Bwana Yesu alitaka sisi tuliookolewa kwa kumkiri tuitwe wanafunzi wake au walokole?
Uganda.Je neno au jina la Walokole limetokea wapi