BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Walokole ni watu dizain fulani fuse zimekata kichwani
wanapenda kelele na ujinga ujinga
wakati sisi tunataka kulala wao wanakesha na mziki wao wa makelele na kukemea mavitu wanayojua wao!
kifupi ni watu akili inacheza cheza muda wote!