BLACKTIGER
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 5,197
- 8,667
Hii ilikuwa jina la kuwaonuesha kama watu wenye mitizamo tofauti na isioeleweka mana waliwaona kama kero.Je ni official term kwa mujibu wa maandiko au ni dhana tu?
Hilo neno chimbuko lake silijui kwa kweli. Kitu ninachokijua ni kwamba huwezi kusema umeokoka ilihali uko hai, na unanafasi kubwa ya kutenda dhambi tena na tena.Kuwakubali ama kutowakubali siyo tatizo sana.
Kwanza wanajua maana ya hilo neno mlokole au walokole linamaanisha nini?
Mantiki hujenga dhana ya kushawishi ili kukubalika ama kukataliwa.
Dini😀
Unataka muktadha gani?Kwa muktadha upi?
Utudadavulie hii hoja yako mkuu
Unataka na Uganda uione kwenye bible!Je ni official term kwa mujibu wa maandiko au ni dhana tu?
sio hivyo, sema we una mapepo, ukisikia walokole unapata shida sana, dawa ni kuokoka ili mashetani yakuache huruWalokole ni watu dizain fulani fuse zimekata kichwani
wanapenda kelele na ujinga ujinga
wakati sisi tunataka kulala wao wanakesha na mziki wao wa makelele na kukemea mavitu wanayojua wao!
kifupi ni watu akili inacheza cheza muda wote!
ukitenda dhambi tena na tena unatakiwa utubu, ukishupaa utaishia pabaya. Kuokoka ni hapa hapa duniani, unatakiwa kuishi maisha matakatifu, maisha ya wokovu ewe mtu wa dini usiyejua thamani ya wokovuHilo neno chimbuko lake silijui kwa kweli. Kitu ninachokijua ni kwamba huwezi kusema umeokoka ilihali uko hai, na unanafasi kubwa ya kutenda dhambi tena na tena.
Kwenye huu mjadala inawezekana tusikubaliane kwenye mambo kadhaa. Na hii siyo kosa wala dhambi, wakati mwingine ni suala la kimtazamo, tafsiri, au mapokeo.Hapana mkuu
Logically unajua kuwa genetic ya Mkristo ni Imani na siyo mwendelezo wa kizazi au kifamilia.
Mkristo ni nani?
Mlokole ni nani?
Mkuu unaweza kusema Umeokoka ktk mazingira mengi. Kwa mfano unaweza kuokoka naa ajali mbaya, kifo na kadhalika.Hilo neno chimbuko lake silijui kwa kweli. Kitu ninachokijua ni kwamba huwezi kusema umeokoka ilihali uko hai, na unanafasi kubwa ya kutenda dhambi tena na tena.
Mtazamk, tafsiri na mapokeo yanaweza kuwa mislead wapokeaji au kuwaimarisha.Kwenye huu mjadala inawezekana tusikubaliane kwenye mambo kadhaa. Na hii siyo kosa wala dhambi, wakati mwingine ni suala la kimtazamo, tafsiri, au mapokeo.
"Utaijua kweli, nayo kweli itakuweka huru".Mtazamk, tafsiri na mapokeo yanaweza kuwa mislead wapokeaji au kuwaimarisha.
How neccessary?
Huwezi kuokoka ungali hai mkuu.ukitenda dhambi tena na tena unatakiwa utubu, ukishupaa utaishia pabaya. Kuokoka ni hapa hapa duniani, unatakiwa kuishi maisha matakatifu, maisha ya wokovu ewe mtu wa dini usiyejua thamani ya wokovu
Ni kweli, lakini ulokole unaozungumzwa na watu wa makanisa ya kipentekoste suo huo. Wao wanadai kuwa wanauhakika watakwenda mbinguni.Mkuu unaweza kusema Umeokoka ktk mazingira mengi. Kwa mfano unaweza kuokoka naa ajali mbaya, kifo na kadhalika.
Neno Mlokole ndilo natafuta mantiki na siyo asili pekee.
Huko mbeleni tutaelewa japo muktadha wake
Mungu anakuona ujueWalokole ni watu dizain fulani fuse zimekata kichwani
wanapenda kelele na ujinga ujinga
wakati sisi tunataka kulala wao wanakesha na mziki wao wa makelele na kukemea mavitu wanayojua wao!
kifupi ni watu akili inacheza cheza muda wote!
Kuokoka ni process,,,, maana unaweza ukaasi tena!Hilo neno chimbuko lake silijui kwa kweli. Kitu ninachokijua ni kwamba huwezi kusema umeokoka ilihali uko hai, na unanafasi kubwa ya kutenda dhambi tena na tena.
Kama unauwezekano wa kiasi tena basi tambua hujaokoka.Kuokoka ni process,,,, maana unaweza ukaasi tena!
walolole wametokana na neno la kiingeleza linaloitwa local,,,Mkuu unaweza kusema Umeokoka ktk mazingira mengi. Kwa mfano unaweza kuokoka naa ajali mbaya, kifo na kadhalika.
Neno Mlokole ndilo natafuta mantiki na siyo asili pekee.
Huko mbeleni tutaelewa japo muktadha wake