Psalm 103 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2026 Posts 1,657 Reaction score 2,723 Jul 12, 2026 #41 secretarybird said: Kama unauwezekano wa kiasi tena basi tambua hujaokoka. Click to expand... Waliokoka wako mbinguni,,,, sie bado tunaendelea na hukumu ya uchunguzi.
secretarybird said: Kama unauwezekano wa kiasi tena basi tambua hujaokoka. Click to expand... Waliokoka wako mbinguni,,,, sie bado tunaendelea na hukumu ya uchunguzi.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 23,984 Reaction score 51,055 Jul 12, 2026 #42 Psalm 103 said: Waliokoka wako mbinguni,,,, sie bado tunaendelea na hukumu ya uchunguzi. Click to expand... Hapo sawa mkuu. Ukiwa hai huwezi kujidai umeokoka.
Psalm 103 said: Waliokoka wako mbinguni,,,, sie bado tunaendelea na hukumu ya uchunguzi. Click to expand... Hapo sawa mkuu. Ukiwa hai huwezi kujidai umeokoka.