Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

Umma nimemasnisha watu

Sheria imsfanus umma kama nani?
 
Umma nimemasnisha watu

Sheria imsfanus umma kama nani?

Ngoja nikujibu kama Mwigulu alivyojibu swali kama lako.

Kuna kitu kinaitwa Public Debt kwa tafsiri nyingine ni deni la serikali ,au deni la umma.
Hili ni deni ambalo serikali inadaiwa kutokana na kukopa au kupata huduma flani bila kulipa .
"Government Debt in Tanzania increased to 12161 USD Million in September from 12160 USD Million in August of 2024"

Sasa kuna watu ambao sio waelewa kama wewe wakasema kutokana na hilo deni kukua kila mtanzania anadaiwa karibia milioni2.

Mwigulu alijibu hoja hiyo kwamba kamwe haitatokea hata siku moja serikali itampigia hodi kila raia kumtaka alipe hilo deni hilo ni deni la serikali na sio wananchi yaani umma wa watanzania.
Kila kitu kina utaratibu wake ndugu hata kama kinaitwa public.
Neno Public /Umma usilichukulie kirahisirahisi kwamba eti ni mali ya umma randomly tu.
Hata Ikulu ni public office ila sio kwa tafsiri yako wewe kwamba umma ni kama kokolo flani linajumlisha kila kitu .
Hapana ndugu embu jaribu kujielewesha zaidi kwa kusoma vitabu vya miongozo ya taratibu za kiserikali, pamoja na sheria mbalimbali utaonheza uelewa wako.
Nimeku note uelewa wako ni wa finyu au mdogo sana
 
Sheria si zipo wazi ama huyo Nifa yupo juu ya sheria ama mnataka mama zetu tu wa vijijini ndo wawe wanabanwa na sheria wajini hapana sio?
 
Ajui kua wakimchungulia kidogo kwenye biashara zake hawamkosi, wakati mwingine ni vyema kua humble
 
Kama majaliwa ana record za kuwadanganya watz wote kwa ujumla, pata picha ni mara ngapi amekuwa akiwadanganya wanafunzi wake kipindi alipokuwa mwalimu wa Stadi za kazi huko jimboni kwao
 
Kiongozi kuna namna nyingi za kutafsiri ‘written law’, lakini kusoma tu kifungu kidogo cha sheria na kukadhana nacho huko hakutomtendea haki mteja wako.

Msingi wa 35(2) kwenye sheria ya maafa unacholazimishia Niffer hana makosa kabisa, kipo chini ya ‘sehemu ya nne’ ya sheria husika inayosema kutakuwa na ‘mfuko wa usimamizi wa maafa wa taifa’ 34 (2e) inatambua source pia ni michango 34 (3) inakueleza wizara ndio inaongoza kitengo.

Section 35 inaelezea taratibu za ukusanyaji 35 (2) inatoa fursa kwa raia, 35 (3) inasema hela wanazokusanya raia na taasisi ziende wapi.

Sasa uwezi kujianzia michango wenyewe ujawapa habari ya lengo lako. Vinginevyo mpaka hapo unakuwa ushawapa ‘actus reus’ na kwa kuwa ujawambia wanaweza kukupa ‘motive’ zozote including utapeli.

Kuna namna nyingi za kusoma ‘written law’ amongst them ni ‘purposive approach’ sio kilichoandikwa tu, bali intentions ya hayo maandishi ilikuwa ni nini.

Binafsi sioni ya huyo binti kusota rumande kwa sababu waliokuwa wanafuatilia wanadai alikuwa open on the donated figures, ni swala la kuelimishana tu.
 
Haswaa unaweza kuta hata huyo Nifa alielekezwa ili kuzua mjadala
Issue ni kuwatoa kwenye jambo muhimu muishie kujadili yasiyo na tija kwa Taifa
Hao wote ni dugu moja
Mpo hapa kumhurumia sijui nifa
 
Iwe amekosea au hajakosea...unafurahia binadamu mwenzako kuwekwa ndani mkuu?
 
wakati mwingine mtu anakuwa mjinga pasina yeye kujua ujinga wake ulivyo, sijui kuweka mitego ili umtie hatiani..ya nini yote hayo, serikali gani inategea watu wake ili iwafunge, km kinachohitajika ni kuelewesha tu utaratibu ulivyo..hawezi kuachiwa aendelee kukusanya wakati anachofanya kiko nje ya utaratibu uliowekwa..serikali haiweki mazingira ili watu wafanye uhalifu..inaelekeza utaratibu ulivyo kwa jambo husika hata kabla uhalifu haujafanyika au kuendelea kufanyika.
 
sawa, umeeleza vizuri, hebu niambie ni kifungu gani kinasema ili mtu achangishe fedha anahitaji kibali? ni adhabu gani atapewa kwa kutokuwa na kibali? kwahiyo sheria namba 6 ya 2022 kosa ni kutokuwakilisha michango ukisoma kifungu cha 36, hivyo kwa sheria ya maafa mtu hahitaji kibali kuchangisha fedha.
 
ni sawa kabisa, ilitakiwa aeleweshwe na sio kumsweka ndani, huko sio kuelewashana
 
Hujui kitu chochote..jambo liko wazi unaleta nadharia ndeeefu za kipuuzi kwa kigezo cha sheria inasema nini, between lines can see sort of ignorance n stupidity!
 
Misibaa michango unapewa kibali na nani zile daftarie
msiba una utaratibu wakecwa kijamii, hawawezi wafiwa kwenda barabarani kuomba wapita njia mchango wa nsiba na hawamjui aliekufa na wala hawana uhusiano wowote na wafiwa. Uliwahi kuona msiba gani wakifanya hivo?

hua watu wanaofahamiana like marafiki, majirani, ndugu wa mbali na wakaribu, sababu wanauhusiano fulani. Sasa haya majanga au issue za kitaifa pia zina utaratibu wake wa kisheria, cas wakiachia kila mtu afanye anavotaka sjui kuchangisha mitandaoni nk si itakua vurugu kubwa? cas matapeli watatumia mwanya huo kujifanya kuchangisha kumbe wana plan zao za kujinufaisha. Wote wenye followers wengiv inta wakisema wachangishe bila utaratibu kutakalika? au ndo mtaibiwa hadi mshike adabu[emoji34]

tufate utaratibu guys, hasa kwenye issue za kitaifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…