Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

watajuaje amekusanya how much? akikusana 100m akawaambia amekusanya 30m mtamfanya nini? shida yenu watanzania mnarahisisha sana vitu thats why mnakua wajinga cas hamchanganui jambo.

tumieni akili na mfate sheria
 
Hakuna sehemu niliyoandika unahitaji kibali kuchangisha.

Ukisoma section four yote ‘interested party’ yenye maslahi zaidi ni serikali, kwa ivyo kama unachangisha kwa niaba yao ni jukumu lako kuwataarifu, vinginevyo wanaweza kukuita tapeli na wakashinda kesi.
 
Hebu tupe orodha ya michango iliyokusanywa na serikali ikawafikia wahanga
Mbona unatapatapa andiko lako lilitaka kujua sheria aliyovunjwa sasa tena unatakakujua matumizi ya michango iliyopokelewa na serikali mimi siyo Msemaji wa Serikali nenda kamuulize Msemaji wa Serikali ila kama unataka kujua sheria iliyovunjwa kasome Sheria ya Usimamizi wa Maafa Namba 9 ya mwaka 2015 pamoja na sheria zingine kama Makosa ya Mitandao ya 2015 pia Penal Code zote hizo zitakusaidia kujua zaidi.
 
Mkuu ukitaka kujua vizuri sheria husika lazima usome madhumuni ya kutungwa kwa sheria husika pia kumbuka sheria moja inaweza kusomwa na sheria nyingine kwa pamoja hivyo adhabu ikapatikana kwenye sheria nyingine. Kwa mfano Niffer alichofanya ametumia mitandao katika ukusanyaji wa michango hiyo hivyo basi sheria ya Makosa ya Mitandao inahusika pia na pamoja na Penal Code.
 
Haha wewe una uelewa mkubwa sana

Sheria iko wazi inapinga swala lolote la maafa na ni jambo la kitaifa sio swala la kifamiliq, hairuhusiwi mtu kukusanya hela za maafa bila kupata kibali...


Shida wewe ni mjuaji unajifanya unajua sheria hata kwa jambo dogo kama hili halikuwa la kubishana sana

Ndio maana nilihoji, wewe umeoma alichofajya niffer sio kosa. Ila tumeona over the years kuna money marketing schemes kibao zimekuja zikakusanya hela na wakakimbia nchini, hii kwa sababu walisubiri watu waibiwe ichukuliwe hatua

Let me ask you something, intent to kill and man slaughter, are you saying that given circumstancial evidence the one with intent to kill won't be sued.

she didnt provide the names of people who donated money. And you are saying we needed to wait for her to finish accumulating the donation, then later we investigate

In deed you are very wise as you think

Tufanye umeshinda. I just woke up man, I am in no moody to argue today
 
Kasimu angeamrisha hap waliochangisha wakakabidhi michango ofsin kwake.Ma majina ya wachangiaji na kiasi walichochanga
 
Inatakiwa Men's rea.Actus reus IPO na men's rea vipi?
 
watajuaje amekusanya how much? akikusana 100m akawaambia amekusanya 30m mtamfanya nini? shida yenu watanzania mnarahisisha sana vitu thats why mnakua wajinga cas hamchanganui jambo.

tumieni akili na mfate sheria

Ungekuwa unajua kwamba serikali ina kitengo kinaitwa financial intelligence unit na kazi ya hicho kitengo usingekoment hayo mashudu uliyokoment.
Hao jamaa wanauwezo wa kujua transactions za fedha zote zinazofanyika haoa nchini zinazofanyika kupitia benki au simu
Tatizo unajifanya mjuaji wakati hujui
 
Jibu hoja
 
Lin kimesaidia umma Hiko kitengo? hv hujasoma hata thread ya jamaa mwisho Katia nyundo
 
Hata kama hakuna sheria hiyo ni dhahiri kuna deficit kubwa ya matapeli kuwaibia wananchi. Sasa sheria hiyo itatungwa na bunge na matapeli watadhibitiwa.

Cloud waliibia sana watu wakati wa maafa kilosa. Acha kutetea wezi kwa kutumia loop holes za kijinga na kipumbavu. Be serious and smart guy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…