Njooni tusemezane. Sheria gani inakataza watu kuchangishana? Waziri Mkuu yupo sahihi kumkamata Niffer?

PM yupo sahihi kila mtu akisema anachangisha .. ni mwanya wa utapeli "tuma kwenye namba hii" kitengo cha maafa kipo chini ya ofisi ya waziri mkuu na yanapotokea maafa yoyote utaratibu wa kusaidia utatoka chini ya ofisi yake kupitia katibu mkuu... Ni kiasi cha kufuata utaratibu tu ... Bila utaratibu ni machafuko
 
Nawaamkua nyote

Tarehe 17 Novemba 2024, Waziri Mkuu akiwa eneo la Kariakoo kukagua zoezi linaloeneelea la uokoaji wa waliokwama chini ya kifusi cha ghorofa iliyoanguka. Alitoa maagizo kwa jeshi la polisi kumkamata Mtanzania aitwaye Niffer ambaye kupitia mitabdaoni alitoa taarifa kuwa amechangisha pesa za za kuwahani wahanga wa ajali ya ghorofa. kuna mambo kadhaa ya kuangazia hapa
  1. Niffer ametoa taarifa ya kuchangisha na kuelezea kiwango alichokikusanya
  2. Waziri Mkuu ameipokea taarifa ya Niffer kama vile anapokea briefings za kiuchunguzi
  3. Waziri Mkuu anatoa agizo la kukamatwa na kuhojiwa Niffer ili aeleze nani kamruhusu kuchangisha tarehe 17 Novemba 2024
  4. Tarehe 18 Novemba 2024, waziri Mkuu anaelekeza polisi wamhoji mmiliki wa jengo lililoanguka. Agizo hilo limekuja baada ya wananchi kuhoji alipo mmiliki wa jengo na kama hajakamatwa tangu siku ya jengo kuanguka.
  5. Jengo limeanguka ahsubuhi saa tatu halafu Mkuu wa Mkoa na vikosi vya uokozi wanafika eneo la tukio saa nane mchana. Hilo jambo halijamkera Waziri Mkuu
Naomba kufahamu, sheria gani imevunjwa ama kukiukwa na Niffer kuchangisha fedha ambapo si mara ya kwanza kuchangisha na kuwasilisha kwa walengwa?

Naomba kufahamu. Ni michango gani ya wahanga iliyolusanywa kupitia serikali na ikawasilishwa kwa walengwa? Nakumbuka michango ya tetemeko la ardhi Kagera ilikusanywa na walengwa hawwkuambulia senti. Vivyo hivyo mafuriko Morogoro wahanga waliishia kusikia redioni michango ambayo haikuwafikia.

Waziri Mkuu atueleze. Matumizi ya fedha za dharurq na majanga chini ya ofisi yake zimetumikqje tangu aingie ofisini?

Kweli ITATUWEKA HURU
Tangu huyu PM adanganye kuwa rais aliyepita yupo ofisini anachapa kazi wakati ameshakata moto sina imani nae tena
 
Mnamlaumu PM bure. Mmesahau kuwa ametumwa na hili nalo akaliangalie
 
Msilete ushabiki kwenye mambo ya kisheria! Huyo Nifer hajaenda kuuawa bali anahojiwa na mamlaka zitaona nia yake ilikuwa nini. Mamlaka hazina bifu na huyo dada naamini ni ishu ya yeye kutoa ushirikiano tu ishu yake inaisha.

Sema kwa akili zake za mitandaoni ndo utaskia anapost kuwa ana strong arm hayo ndo yanaweza kumkost. Nadhan hajui serikali inavyofanya kazi yeye anajua kuuza bidhaa kutoka China basi. Anafikiri serikali ni kama konteina la bidhaa
 
Mi naona Tatizo sio kuchangisha, tatizo lipo katika kuwajibika Kwa waliokusanya hiyo michango kutoa maelezo ya Matumizi Ya hizo Fedha na wawe tayari , kukaguliwa na Mkaguzi Mkuu wa Sirikali au atakaye teuliwa au kuchaguliwa na Mkaguzi Mkuu wa Sirikali na ripoti iwe wazi kwa umma.
 
Issue ni kuwatoa kwenye jambo muhimu muishie kujadili yasiyo na tija kwa Taifa
Hao wote ni dugu moja
Mpo hapa kumhurumia sijui nifa
 
Sheria ya usimamizi wa maafa ya mwaka 2022, kifungu cha 26(2) inasema jukumu la kuchangisha litafanywa na Kamati ya maafa iliyo chini ya ofisi ya Waziri mkuu, kupitia akaunti maalumu.

Kiufupi ni kwamba Niffer alikuwa anaingiliia majukumu ya ofisi ya waziri mkuu, mbaya zaidi akaanza kujibizana na waziri mkuu mtandaoni huku akijinasibu kwamba ana jeshi kubwa nyuma yake...... Nadhan hilo jeshi alimaanisha watu kama wewe mtoa mada
Sheria irekebishwe. Inaua moyo wa kujitolea. Iangalie namna ya kujumuisha wenye ushawishi na ambao kwa kweli hufanya harambee za namna hiyo kwa matukio ndani ya jamii, kama malisa, nifa na mwl yusuf. Wapo wengi ambao huwiwa kufanya mchango wao kupitia ushawishi wao. Ofisi ya waziri mkuu sidhani kama ina ushawishi wa kuwafikia wafuasi wa mitandao ya kijamii wa watu kama nisha, sasa unatap vipi michango yao hao ambao ni "jeshi kubwa" ili nao wajisikie wamefanya kitu kwenye maafa yoyote. Ni kwa kuwatumia influensa, watu wanaowafutilia mitandaoni kama nifa.
 
Mi naona Tatizo sio kuchangisha, tatizo lipo katika kuwajibika Kwa waliokusanya hiyo michango kutoa maelezo ya Matumizi Ya hizo Fedha na wawe tayari , kukaguliwa na Mkaguzi Mkuu wa Sirikali au atakaye teuliwa au kuchaguliwa na Mkaguzi Mkuu wa Sirikali na ripoti iwe wazi kwa umma.
Naunga mkono hoja. Wapewe akaunti maalum za majina yao hawa mainfluensa ambazo mwisho wa siku zitaenda benki kuu kwenye akaunti mama ya maafa ya serikali
 
Sheria irekebishwe. Inaua moyo wa kujitolea. Iangalie namna ya kujumuisha wenye ushawishi na ambao kwa kweli hufanya harambee za namna hiyo kwa matukio ndani ya jamii, kama malisa, nifa na mwl yusuf. Wapo wengi ambao huwiwa kufanya mchango wao kupitia ushawishi wao. Ofisi ya waziri mkuu sidhani kama ina ushawishi wa kuwafikia wafuasi wa mitandao ya kijamii wa watu kama nisha, sasa unatap vipi michango yao hao ambao ni "jeshi kubwa" ili nao wajisikie wamefanya kitu kwenye maafa yoyote. Ni kwa kuwatumia influensa, watu wanaowafutilia mitandaoni kama nifa.
Mkuu kuna maafa ya kitaifa na matatizo binafsi.... Hapa tunazungumzia maafa ya kitaifa na jukumu la haya maafa liko chini ya ofisi ya Waziri mkuu

Ukisoma hiyo sheria maafa yote yameelezewa vizuri kabisa na ndio maana hukuona serikali ikimwandama kipindi kile anachangisha pesa za matibabu ya mtu binafsi.
 
Msilete ushabiki kwenye mambo ya kisheria! Huyo Nifer hajaenda kuuawa bali anahojiwa na mamlaka zitaona nia yake ilikuwa nini. Mamlaka hazina bifu na huyo dada naamini ni ishu ya yeye kutoa ushirikiano tu ishu yake inaisha.

Sema kwa akili zake za mitandaoni ndo utaskia anapost kuwa ana strong arm hayo ndo yanaweza kumkost. Nadhan hajui serikali inavyofanya kazi yeye anajua kuuza bidhaa kutoka China basi. Anafikiri serikali ni kama konteina la bidhaa
Weka sheria na kifungu kilichokoukwa ili usiwe shabiki kama mimi
 
Ni jambo la kusikitisha na pengine kukera..km mtu anafikia umri km wako au wa niffer lkn hajui maana ya neno ORDER au UTARATIBU kwa vitendo..shule ya kwanza kwa binadamu ni nyumbani kwa wazazi wako, na kati ya wanayokufundisha ni kufuata ORDER, unaambiwa muda wa kulala, muda wa kuamka, muda wa kula nk..na wapo/yupo anayetoa hizo ORDER, ukienda shule hali ni hiyo hiyo..km mtoto wa miaka 3 anaweza kujua na km kuna chochote kipya nje ya utaratibu lazima aulize..mtu mzima anashindwa vipi kukumbuka tunaishi kwa ORDER??? mfano watu 100 wangefanya hivyo alivyofanya kukusanya michango, unadhani nini kinaweza kutokea..unaweza kulist hasara za kufanya hivyo?? lakini moja iko wazi..haitakuwa rahisi kufahamu nani kati ya hao 100 anakusanya michango ya wahanga wa tukio na nani anakusanya kwa kutapeli..!
Tuwe na kumbukumbu, kila kitu/tukio au mambo yanayotokea kwa nadra upo utaratibu wa jinsi ya kufanya..si lazima kuwepo sheria!
You belong to the past. Mwaka 2024 unaweza toa hoja kama hii? Dawa hapo weka mechanism ya kuwatumia hao influensa kupata michango ya raia wwa kawaida. Unadhani nifa atapata mchango gani toka kwenye taasisi ama mashirika, yale mashirika yanataka pr ni wazi yataenda serikalini na kwenye vyombo vya habari wakati wanatoa mchango wao. Sasa nifa anakusaidia kuipata pesa ya wadangaji, masista duu na mabrazameni wa buku 2000 na kada kama hizo. Ambazo kiuhalisia hazina interaction na formalities.
 
Kiswaswadu ni mkurupukaji sana.

Back
Top Bottom